mwanaume urud uko bla uyoga utansoma rang,....
Wana JF mm nimeoa 2005 na sijabahatika kuwa na mtoto na huyu mke wangu,tatizo la mke wangu ni moja tu huwa anawivu sn kupita maelezo.imefika hatua naona nikero kwn sina aman na ndoa hii,....................... hataki kuelewa anataka kwenda kwao.naomben mawazo yenu pls!
ahh wewe bwana mwooooooooongo tangu uanze kunihaidi magar yoote yenye plate namba za njano ni yako utanipa na uwongo wa uyoga tangu kipnd cha ROMA mpaka leo ahh skuamin teeeeeeenawewe si umeshazoea kudrink ze orijino?
basi kaa mkao wa kula,
uyoga orijino waja bibie, ushindwe wewe!!!!!
ahh wewe bwana mwooooooooongo tangu uanze kunihaidi magar yoote yenye plate namba za njano ni yako utanipa na uwongo wa uyoga tangu kipnd cha ROMA mpaka leo ahh skuamin teeeeeeena
kaa na uyoga wako minataka urud salam tu....nakuitaj wewe tu ...
sasa ile safari yetu vipi mtu wangu,
si unajua tunatakiwa twende wote kule kiboroloni?
teh teh usijar
ntakuja twende..siku 4 znatutosha?
for planing,im[plementation n evaluation?
Note: Kuishi na Mwanamke inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.
Maoni ya wengi yanaonesha wivu wa mke wako unatokana na kukosa kwenu mtoto. Kama ni hivyo, mmechukua hatua gani kulitatua hili? Mmeenda kufanya uchunguzi kujua tatizo ni la mmoja kati yenu au nyote? Ikiwa bado uchunguzi, fanyeni. Matatizo mengine ni madogo kiasi yanaweza kurekebishika na mkapata mtoto.
Ukiwa chia wivu wake, bado unampenda? Ikiwa ndivyo, kaeni mliongelee hilo. Mweleze yanayokuudhi, akueleze yanayomuudhi, pa kurekebisha mrekebishe, pa kupunguza mpunguze. Ndoa ni kujitolea.
Ikiwa utaamua aende kwao, fuata ushauri ulopewa katika post No. 24.
imenikumbusha frnd wangu alikwaruzana na mr wake akapaki vitu vya ndani vyote akanda kwao akidhani mr atamfuta kumwomba arudi, aliikaa kwao miezi 3 akipiga cm mr hapokei, akituma sms hazijibiwi, mwishowe alijirudia tena na vitu vyake kavipaki kwenye kenta...haaa mpaka kesho anabanana na mr kwa nguvu zote, kwao ni kwenda na kurudi....hahaha maisha ya ndoa yana vituko vya kutosheleza....
We mkaka habari yako!!!
Dah, watu wanamwambia amuache mke wake,
Wanajua anachompa????
Alaaa hapana, ushauri wa Rose na huyu kaka hapa unahusu.
Wewe hutaki kupendwa?
Dah, sasa asikuonee wivu wewe amuonee nani?
Dah, sasa unataka asikuonee wivu?
Subiri akutane na Bacha kama atakuonea wivu tena.
Hapo sijui utafurahi.................
Haya bwana, usiache mke wewe, tumia akili za kiume hapo.
Wivu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu au kuna kingine hujakisema?
LD ni bora huyu kaka amekuja hata kuomba ushauri, mwingine angeamua kutafuta nyumba ndogo na kuhamia huko huko. Hebu fikiria miaka 5 kila siku ugomvi? hiyo ndoa ndoano? hashauriwi kumuacha mkewe bali amuache akapumzike kwao akirudi atakua na adabu kubwa sana, maan kwako ni kwako kwa wazazi kunakera maelezo hakuna, akirudi akili itakua imemkaa sawa.
Muhimu sana akapumzike kwao kwa muda.
So anampa likizo sio?
Mmmmmh, likizo innahusika hapa!!!!!
But miaka yote hiyo, ni tatizo la wivu tu?
Mi mbona nasita kuamini?
We mkaka hakuna tatizo lingine?
c kwamba everday ni ugomvi no ugomvi wetu unakuja cku nikirudi home saa 2 lazima tugombane anataka nirudi saa 12 jioni,sina hata mda wa kubadilishana mawazo na wenzangu.