Sina hamu na mume wangu

Na wewe chepuka Tu um surprise kama yeye alivyo kusurprise...
 
na wewe tafuta mwanaume mlete ndan ngoma droo
 

sasa ndo uje kunitangazia humu au ndo unalipiza!!!!!
 
masekretare wengine wanajilegeza sana kwa ma boss wao. utakuta kakuvalia ki nguo icho we acha tu. usipo mgonga nafikiri wewe kitu akisimami. inabidi ugonge ata mara moja, ili kuonyesha kuwa unaweza. utahacha wangapi? unaweza kuruka mkojo ukakanyaga mavi. cha msingi ajutie kosa lake na asirudie tena.
 
what makes u a super woman is your ability to win difficult games like this, dada kila kitu hutokea kwa sababu...japo sababu zinatofautiana nakushauri uamini kuwa hilo limetokea ili unapomsamehe mumeo aona sababu ya kukupenda wewe na sio wanawake wengine...mara nyingi wanaume hutafuta tofauti ya mwanamke mmoja na mwingine na anapoona kwa mmoja kuna sababu kuu hasa upendo wa dhati huamua kutua moyo...utafanikiwa tu iwapo utamwomba mungu aipoze nafsi yako na pia mshirikishe mumeo kwenye sala ili wewe utamke manenno ya kumkabidhi mungu maisha yenu automatically uta win hiyo game
 

Hili la kusamehe ni msamiati mgumu na usiowezekana wa female@dot.com. Hili labda kabla ya uhuru wa Tanganyika.
 

Sasa kinachokukalisha hapo nini....hapo inaonyesha unampenda huyo jamaa ila unataka aumie kama alivyokuumiza yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…