Sina hamu na mpenzi wangu

Sina hamu na mpenzi wangu

hii kitu inatokea sana sio wewe tu lakini kikubwa ambacho mimi nilikifanya nikuanza kusahau mochepuko,yaani nilikua najikaza nisichepuke hata miezi miwili taratibu nikajikuta mzuka unarudi kwa wife ntikawa napiga hearttrick

Hearttrick=Hatrick
 
Thnx kaka kwa ushaur wako, i real appriciate it!
Nitafanya hivyo na mm
 
Humu mtu anaweza kuja kuomba ushauri akaishia kulia. Maana duh!comments zingine balaa!
 
Naskia mvulana anaeandika x badala ya s eti ni shoga kidawa
 
Back
Top Bottom