Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,595
Ni wachache sana, tena sana wanaoweza kuulewa huu uzi.
Mimi ni mmoja wao wa walio uelewa.
Kasie, natumaini hujambo.
Cleroo mamboo,
Hahahahhahaaa natumaini kuna walioku PM kutaka kujua ulichoelewa au nilichomaanisha ......
Shauri yako ukiwaambia ukweli ......
Mie sijambo kabisa niko buheri wa afya.
Ila baada ya kuona avatar yako nimepata kiu ya msuba...
Kβ Matata.
Hahahahahahhaaa wamestukaa....
Msalimie mama Cleroo.
Hahaha hivi kumbe mkimwagana huwa mnapigana madongo humu humu pia .duh!!!Asante Kareem
Inshallah dua zako mimezipokea.
HahahaAngekuwa karibu ungemvalia khanga yenye maandishi, β kwani una niniβ
Sent from my iPhone using JamiiForums
Thank you BAK....
But am curious.......
Kasie nakupendaga tu mm na mambo zako yaani
Bado sijapata nauli Don nikipata nitafika tu [emoji6]Hivi mbona hii safari yako kwenye avatar hifiki tu?
Bado sijapata nauli Don nikipata nitafika tu [emoji6]
Hahahaha lazima nikupe taarifaSawa madam, ukifika utanijulisha.
Hahaha hivi kumbe mkimwagana huwa mnapigana madongo humu humu pia .duh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana una habari naye ndio maana umemuongelea,jamaa litakuwa na bichwa hiloooo,limeumiza mtu hadi limepostiwa humu