Mapenzi ni yako ingawa ni nadra kuyapata.Upo sahihi lakini unapotafuta ngono tu kwa kila mwanamke itafika wakati hutafurahia chochote.
Mapemzi yapo ingawa ni nadra kuyapata.
Tatizo lako limeanzia utotoni, hujawahi kupata upendo wa wazazi wako wawili. Correct me if am wrong.Mapenzi ni yako ingawa ni nadra kuyapata.
Basi sisi ni wale ambao bado hatujapata kwa mantiki hiyo ni kazi sana kutuaminisha kama kuna nje ya ngono kuna upendo tena
Haha
Absolutely trueTatizo lako limeanzia utotoni, hujawahi kupata upendo wa wazazi wako wawili. Correct me if am wrong.
Mkuu kuna uyu Demi amesema sisi ambao tupo hivi tulikosa upendo wa wazaziHabari Wana JF
Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika.
Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini hamna kitu.
Sijawah kuhofia kupoteza mahusiano,Yani Mimi nikiwa namwanamke hata akiamua kuniacha naona sawa tuu sihofii chochote na hata moyo haushtuki.
Imefikia mahali nimeamua kuigiza kupenda lakin kunamdaa najisahau nakua don care,nimejitahd kunsikiliza nyimbo za mapenzi ilinipate hata kadilili lakini wapii nipo nipo tuu.
Kiufupi sielewi hata nashida Gani nataman skumoja nipendee ili nijue hata ladha ya upendoo sababu haya maisha yamenishinda
Naombeni ushauri jamani niondokane nahili tatizo
Upo likizo mkuuπNa buku tu na bado nimelala ila nakunywa bia nairudishia kwa uvungu narudi kuchati humu Dr am 4 real PhD
Kaka tule vinywaji , leo nimeamua nisipate pesa tuUpo likizo mkuuπ
Pole sana. Ndivyo inavyokuwa..huwezi kumpenda mtu kama hukushuhudia wazazi wako wakipendana au kama umekosa mapenzi kutoka kwao ukiwa mdogo.Absolutely true
ππ
Tafuta mwanasaikolojia akusaidie kama kweli unataka hili tatizo liishe, au uji-counsel tu mwenyewe maana sisi wabongp mambo ya wanasaikolojia hatuna mazoea nayo.
Nitajaribu sasaTafuta mwanasaikolojia akusaidie kama kweli unataka hili tatizo liishe, au uji-counsel tu mwenyewe maana sisi wabongp mambo ya wanasaikolojia hatuna mazoea nayo.
Tumia mtandao(internet kupata taarifa). Pia unaweza tu kubadili mtazamo kwamba inawezekana kubadilika na ukapenda.
Mfano mimi nina mapenzi tele jamani..hata nikiumizwa na mmoja siwezi kuyachukia mapenzi, nitakuja kupenda tena lazimaπ.
Ingawa kuna ukweli kwamba siku hizi mapenzi yana matatizo..ni kama vile watu wamepunguza kupenda, hawajali.
Jiachie..Nitajaribu sasa
Nitajaribu sasa
Nitajaribu sasa
Huwa najaribu sana lakini kwa upande wangu labda nakuwa sipati kitu nicho kihitaji hawa wanawake uku nje hawako loyal kabisaJiachie..
Ukimpata anayekupenda jaribu kupenda. Punguza negativity.
Nilodhani huko nje wapo tofauti na wa hukuHuwa najaribu sana lakini kwa upande wangu labda nakuwa sipati kitu nicho kihitaji hawa wanawake uku nje hawako loyal kabisa
ππππNilodhani huko nje wapo tofauti na wa huku
No nina mwaka sasa nipi nyumbani tanzaniaNilodhani huko nje wapo tofauti na wa huku
Kama hata huko kijijini unekosa basi pole sanaπNo nina mwaka sasa nipi nyumbani tanzania
Tena nipo kijijini
Kwa kiasi fulani wanawake haswaa wa jimbo ambalo nilikuwa nakaa wanavichwa vigumu sijapata kuonaNilodhani huko nje wapo tofauti na wa huku
Haha π ni zamani nahisi walikuwa wakisema kijijini waweza pata soulmate lakini kwa sasa hakuna cha soul wala mateKama hata huko kijijini unekosa basi pole sanaπ
Najua vitu vingi,Tatizo lako limeanzia utotoni, hujawahi kupata upendo wa wazazi wako wawili. Correct me if am wrong.
Kupenda ni upumbavu natamani kuwa kama weweHabari Wana JF