Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,435
- 3,113
Hii point nimeipenda sana , baadhi yetu haya mapenzi tunalazimisha tuThe same same kaka
Usjari tupo pamoja nadhani sisi ni moja kati ya design ya watu ambao furaha zetu sio ngono
Ni tofauti kidogo na wewe mimi napenda lakini baada ya muda naanza kushindwa kupractice love then nachoka kabisa kufake then naachaa mazima
Unakuta ana tuivpochi tukali kutoka Louis voitton au prada, anajipiga manukato kutoka chanel na mafuta ya bei chafuπ€£π€£π€£Gharama za juu kuanzia gani? Tuanzie hapo kwani.
Ila MM bhana, hujataja gharama ni kiasi gani, wee unataja vitu. Taja gharama kuanzia ni kias gani.Unakuta ana tuivpochi tukali kutoka Louis voitton au prada, anajipiga manukato kutoka chanel na mafuta ya bei chafuπ€£π€£π€£
Dollars πΈ 2000 mpka 5000 kwa pochi moja tu, weka na manukato mpaka 10000Ila MM bhana, hujataja gharama ni kiasi gani, wee unataja vitu. Taja gharama kuanzia ni kias gani.
Kwa kibongo ni kias gani? MM usinipe kazi ya kuanza ku π±, taja bhana kwa tsh.Dollars πΈ 2000 mpka 5000 kwa pochi moja tu, weka na manukato mpaka 10000
Million 5 na laki na kitu mpaka Mill 20 na kituπKwa kibongo ni kias gani? MM usinipe kazi ya kuanza ku π±, taja bhana kwa tsh.
Hii kitu ya soul mate ni utapeli wa kimapenzi hakiπ€£Hujakutana na soul mate wako kijana kaa Kwa kutulia!
Sasa muulize huyo OP km ana 10M ktk acc yake yoyote ya Bank. πππππMillion 5 na laki na kitu mpaka Mill 20 na kituπ
Tofautisha mapenzi na ngonoThe same same kaka
Usjari tupo pamoja nadhani sisi ni moja kati ya design ya watu ambao furaha zetu sio ngono
Ni tofauti kidogo na wewe mimi napenda lakini baada ya muda naanza kushindwa kupractice love then nachoka kabisa kufake then naachaa mazima
Kwa hiyo anatuongopea kuwa alisha pita mpka na pisi kali?πSasa muulize huyo OP km ana 10M ktk acc yake yoyote ya Bank. πππππ
Hana hela huyo.
Aaah wee Ulishawahi kukutana nae?Hii kitu ya soul mate ni utapeli wa kimapenzi hakiπ€£
Pisi kali za chuo zinazoshindia mihogo, ndo vijana wengi huziita pisi kali.Kwa hiyo anatuongopea kuwa alisha pita mpka na pisi kali?π
Nyie ma soul mate wenu ni wenye hela tu sie aaaaaah!!!πAaah wee Ulishawahi kukutana nae?
Watu wa humu waongo waongo Sana,kuna mmoja asubuh anasema mshahara wake Si haba halafu anaulizia wanapokopesha TV na JikoπππππKwa hiyo anatuongopea kuwa alisha pita mpka na pisi kali?π
Hizo ni pisi kali kwenye zone zetu mkuu, kwa uchumi huu vijana wanaomiliki pis classic bongo wanaweza wasifike wa tatu.Pisi kali za chuo zinazoshindia mihogo, ndo vijana wengi huziita pisi kali.
Nweii, kuna pisi kali na kuna pisi classic, msichanganye hivi vitu. ππππ
Kumbe huwa unakuwaga seriously na maneno yetu humuπWatu wa humu waongo waongo Sana,kuna mmoja asubuh anasema mshahara wake Si haba halafu anaulizia wanapokopesha TV na Jikoπππππ
Pisi kali ni natural, ila Pisi classic ni artificial.Hizo ni pisi kali kwenye zone zetu mkuu, kwa uchumi huu vijana wanaomiliki pis classic bongo wanaweza wasifike wa tatu.