Dunia ya leo kuna vitu ukituhumiwa navyo.....(ushoga, sexual harassment, kukosa uzalendo etc..) huna hata dakika ya kujitetea..wanaokutuhumu ndo wenye mamlaka ya kukuhukumu.
Diamond alivyoibuka na hii kashfa ya Dimpoz kuwa bwabwa nilitegemea Dimpoz angekanusha kwa nguvu zote lkn alipoulizwa aljibu kirahisi tu "akutukanae hakuchagulii tusi'