Maamuzi wa watu wawili chumbani wewe mwanaume yanakuhusu nini kama hajamshukuru imekusumbua nini au Ommy ni mke mwenzio ndio maana limekukera kwa kutokushukuru kwake?
Dunia ya leo kuna vitu ukituhumiwa navyo.....(ushoga, sexual harassment, kukosa uzalendo etc..) huna hata dakika ya kujitetea..wanaokutuhumu ndo wenye mamlaka ya kukuhukumu.
unajua hata kama ushoga si jambo zuri ila kilicho msukuma huyu jamaa kuandika hiki nimeelewa kwamba huyu jamaa ni miungoni mwa watu wanaoshiriki ushoga sasa yawezekana kati ya hao wawili kunammoja amemtaka akakataliwa ndio analeta majibu kwa swali lisilo ulizwa... shame on him too