Dat BigAs a man, JIPENDE… Tenga muda kwa ajili yako na kwa ajili ya vitu unavyovipenda… Hang out na washkaji, make those silly jokes, have that little fun….
You can never pour from an empty glass, jijaze ili uweze kushare ulichonacho na unaowapenda
Amekufanya kuwa Mtumwa na amekuwseza, Women are very powerfulUnachat naye WhatsApp, akichelewa kujibu ukimuuliza anasema “sina bando linakaribia kuisha.” Ukimsaidia hela ya bando, unategemea mawasiliano yatabadilika.
Bado ni yaleyale: anaonekana online, anaweka status muda wote, lakini message yako akiiona anakaa kimya mpaka umsisitize. Next day Ukimuuliza tena anasema “nilikuwa sina bando”, wakati status mpya inaingia 😂
MSHIKAJI KIMBIA ,UNAANDALIWA KUWA MBADALA.
SHAURI YAKO.
Amekufanya kuwa Mtumwa na amekuwseza, Women are very powerful
Unahangaika na mtu hata hana hela ya vocha😅.. Wanaume tuna huruma sana wewe ukikosa hela ya bando kuna mwanamke atahangaika na wewe?
alhamdulilah sijaipitia hio phaseUnachat naye WhatsApp, akichelewa kujibu ukimuuliza anasema “sina bando linakaribia kuisha.” Ukimsaidia hela ya bando, unategemea mawasiliano yatabadilika.
Bado ni yaleyale: anaonekana online, anaweka status muda wote, lakini message yako akiiona anakaa kimya mpaka umsisitize. Next day Ukimuuliza tena anasema “nilikuwa sina bando”, wakati status mpya inaingia 😂
MSHIKAJI KIMBIA ,UNAANDALIWA KUWA MBADALA.
SHAURI YAKO.
pointNi upumbavu kumtumia mtu ujumbe alafu umuelekeze tena akujibu