susan appie
Member
- May 8, 2014
- 15
- 1
Man wangu anasema atajitahidi kuishi bila sex lakini ananishawishi, sana inaonesha hawezi bila sex natamani kutoka lakini nashindwa nisaidieni
We toka bhana....manake huko unakoenda utampata huyo asiependa 'sex'...na hata akichapiwa ye atafurahia tu na atalea watoto wa nje kama kawa!!
Hawa ndio form six walomaliza mtihani juzi wameanza fujo humu
miaka tafadhali?
Jibu swali la Kongosho, una umri gani?
above form 6
huyo cyo mume jamani na kwa uelewa wng mapenzi cyo ngono
above form 6
huu ndio umri wako? au hujaelewa swali?
kiruu suala la umri halihusu we funguka yako bana