kiruu suala la umri halihusu we funguka yako bana
Sema umri ili upewe dozi sahihi kwa umri wako
kiruu suala la umri halihusu we funguka yako bana
man wng anasema atajitahidi kuishi bila sex lakn ananishawish,sana inaonesha hawez bila sex natamani kutoka lkn nashindwa nisaidieni
Linahusu cz unazungumza mambo ya kitoto
Kwanini wewe ni bikra???
man wng anasema atajitahidi kuishi bila sex lakn ananishawish,sana inaonesha hawez bila sex natamani kutoka lkn nashindwa nisaidieni
mwambie shake well before use
..wadada wanaojitunza nawapenda sana, kwangu wanaonyesha ukomavu wa hali ya juu. Kama hawezi kutimiza ahadi yake muache, he doesn't deserve you...jitunze!!
above form 6
jua umri kwanza..
Hahahaaaah...hakuna anayetaka mbuzi kwenye gunia lazima uhakikishe kama ana ubora
mwambie shake well before use
huu ndio umri wako? au hujaelewa swali?
Wakati ukutaMan wangu is a boy who has no business experimenting sex with you because you are still underage.
Nikianzaga kufikiria tubinti tudogo tunakimbilia haya mambo nasikitikaga kweli.
Kama sio mume kwahiyo huyo ni kaka yako? Kama huna undugu wa damu achia mzigo mshkaji ale...!! Tatizo lenu type zako huwa mnaachia mzigo kule halafu huku kwa mshkaji unabana!!huyo cyo mume jamani na kwa uelewa wng mapenzi cyo ngono
..wadada wanaojitunza nawapenda sana, kwangu wanaonyesha ukomavu wa hali ya juu. Kama hawezi kutimiza ahadi yake muache, he doesn't deserve you...jitunze!!