Simwelewi,ushauri tafadhali

Simwelewi,ushauri tafadhali

i can say yes mkuu cuz imeshanitokea,niliumia sana cuz niliamua kumfanya huyo binadamu km sehemu ya maisha yng mwisho wa siku nikaonekana sina thamani mbele ya macho yake nikatupwa,yakafuatia maumivu makali na ugonjwa wa moyo kwa zaidi ya miezi miwili,siku zikaja siku zikaenda miezi na miaka sasa nimesahau,hivyo ata huyu nilie nae sitegemei makubwa sana kutoka kwake wala sijampenda km yule niliekuwa nae before kwa kuhofia maumivu tena,siunajua binadamu hawaeleweki?hivyo lazima tuwe na kiasi.

Pole sana rafiki....but ndugu yangu some people are permanent residents in ur life while others are just passing through. It is important to know the different....
 
Hivi ukiwa na mtu kwenye relationship lazima muoane? hizi kesi ndo huwa nakumbana nazo kila kukicha kuna wengine unawapenda kuwa nao kimapenzi tu sio kuingia kwenye ndoa, ndoa dada sio ya kukurupuka eee, sio kila unaempenda anafaa kuwa mwanandoa
 
Mmhh... Wee hupendi kuoa?

Napenda sanaaaa kuoa lakini sipendi kulazimishwa au kupewa msukumo nioe. Napenda nimtamkie mwenyewe kutoka rohoni bila kutajiwa tajiwa mara kwa mara.
 
ukifikiria kuolewa utatembea r'ship nyingi cha muhimu muombe mungu la sivyo mama utakuwa taster ya vijana. usilazimishe ndoa coz si kila kijana na mumeo au mwanamke nso mkeo.
 
Pole sana rafiki....but ndugu yangu some people are permanent residents in ur life while others are just passing through. It is important to know the different....

asante ila namshukuru Mungu cuz ni yeye aliniwezesha kusahau na hivi sasa nipo ktk mahusiano mengine tena ila i dont feel secured, siunajua ukishang'atwa na nyoka tu ata ukisikia jani unashtuka?
 
Hebu wanawake tujifunze kuwa expensive.. hata kwny maandiko tumeambiwa tutii wao ndiyo watupende but siku hz tunapata ma heart break coz tunawapendaaaa na wanajua kabisa kuwa hatupindui kwao.. Tafuta maisha yako mami mume atakuja tu GOD's time is the best! ! Nishapita huko kwny kuumia nimejifunza.. Place a value on urself you are the daughter of the most high ambae kila kizuri kinatoka kwake atakupa mume mzuri utashangaa mtegemee yy tu..
 

Attachments

  • 1384028495535.jpg
    1384028495535.jpg
    76 KB · Views: 82
Toka na speed 120 ,
au acha Power of Love i take control
 
get used and leave!!!! do you marriage is a simple like going to kariakoo and come back to your home? ..
 
Habari wana Jf? Mko ndani ya mahusiano na mwenzako,mkajikuta mkipiga story story siunajua tena mtu unapotaka kujua msimamo wa mwenzako, mara ukachomekea swali ukajibiwa hivi " sijawahi kufikiria kuoa na wala sina mpango wala wazo hilo". Nahitaji ushauri kutokana na jibu hilo.

Hiyo isikutishe!

Mpe mambo ya uhakika na instantly utasikia baby May I Love you!

Kwenye mamuzi ya ndoa wanaume sisi tunaishi kutokana na matukio tu hasa ya kitandani!
 
wee umekaa kimgegedo zaidi so endelea kupata raha ya utamu.
 
Back
Top Bottom