Simwelewi sheikh huyu!

Status
Not open for further replies.
Wakuu,

Haya mambo ya dini yapo wazi sana. Mimi huwa nasikiliza redio Imani kila siku. Redio hii waziwazi wanamshambulia Dk. Slaa si kwa ubaya wake, bali kwa dini yake! Wanasema kabisa kwamba yule atawaumiza waislam!

Siku moja allitwa shehe Mwaipopo na mwenzakwe mmoja na wakakumbushia mambo ya Mwembechai na kusema ulikuwa mkakati wa wakristo kuumiza waislamu. Wakaenda mbali zaidi kwa kusema , pamoja na kwamba Raisi alikuwa ni Hassan Mwinyi (muislamu), bado si yeye aliyekosa, bali alikuwa ni Augustino Mrema ( Mkristu), kwani yeye ndo alikuwa Waziri wa mambo ya ndani na akamdanganya Mwinyi hivyo Mwinyi kuingia mkenge kwa kuua Waislamu wenzake!

Bila kumung'unya maneno wakadai kwamba waislamu wasimchague Mkatoliki, kwani huo utakuwa mwanzo wa kutawaliwa na Vatican!

Lakini cha ajabu wamesahau kwamba, Omar Mahita (Muislamu) ndiye aliye watwanga risasi wapemba wale ambao ni Waislamu wenzao. Wamesahau kwamba wakati huo Raisi wa Zanzibar alikuwa ni musilamu!

Tatizo ni kwamba, wanaohubiri siasa za chuki ya dini kwenye hiyo misikiti ni watu wanaofaidika na uongozi wa kifisadi uliopo CCM. Si waislamu wote wanapenda hizi chokochoko, ila wengi wanaamini hayo yasemwayo na mashehe kiasi kwamba wamejenga chuki ya wazi kabisa.

Kuna rafiki yangu sasa hatuongei, kisa tu nilimwambia JK ameshindwa kufanya maamuzi mazito...yeye badala ya kunisikiliza aling'aka "kwa hiyo tumchague mkatoliki?"

Nikajiuliza, swala la Mkatoliki linakujaje wakati tunajadili uongozi?

Radio imani inaeneza ujumbe hatari sana, na nashangaa kwanini serikari inainyamazia. Ina dalili zote ya kwamba ni redio ya vigogo wa CCM walioko Morogoro na sehemu nyingine za nchi. Magazeti yanyosomwa pale ni yale ya RA (Mtanzaia etc) , na yale ya kiislamu, ya CCM (Uhuru) na ya serikali (Habari leo). Pia Mwananchi huwa wanalisoma, pale tu lisipokuwa na habari za DK Slaa!

Kuna ujumbe amboa kila siku unatolewa wakisema " Waisilamu wananyanyaswa sana kote ulimwenguni, na waislamu wanateswa, wanachinjwa na wana uawa kwa sababu tu ya kuwa waislamu"!

Muda Mwngi pia huutumia kushambulia Marekani kwamba ni adui wa Uislamu! Cha ajabu Raisi wetu wa JMT Mh. DK Jakaya Kikwete ni muislamu safi na ambaye ameikumbatia Marekani kama baba na mama yetu! Je kwanini basi wasimkemee JK badala yake wanawadanganya waislamu wasio jua hila za hawa viongiozi wa kidini, kwamba Marekanioni adui huku JK akionyesha waziwazi mapenzi yake kwa Bush?
 
Emancipate yourselves from mental slavery;
None but ourselves can free our minds.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.

BOB MARLEY
 
Ni vyema wakaambua kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kufanya watu wa dunia hii wote wawe na imani moja. Kama Mungu ni wa Waislam kwanini watu wote hawawi waislam? Je ina maana Mungu hana nguvu ya kufanya watu wote tuwe sawa? Binadamu ni tofauti na tutaendelea kuwa tofauti, ukitoka kwenye udini basi itafuata rangi, je wote duniani kwa nini tusiwe weupe au weusi? kwa nini Mungu aanzie Saudi Arabia na sio duniani kote at once?
Ni upuuzi sana kuwasiliza watu hawa, wanafanya haya kwa faida zao binafsi kabisa! hata ukichagua mtu kwa imani yako ukienda hospital au shule hautaulizwa dini yako! Its CRAZY!!
 
Emancipate yourselves from mental slavery;
None but ourselves can free our minds.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.

BOB MARLEY
How long shall they kill our prophets
While we stand aside and look? Ooh
Some say it's just a part of it
We've got to fullfil the book
Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever have

CHADEMA FOR LIFE
 
For your information ladies and gentlemen: Huu ni mkakati wa CCM unaolenga kuwa-aminisha wakristo kuwa nchi haina udini, kwahiyo wampigie JK wao kura bila kujali dini yake!!!!!!! Lakini Kuna mpango wa siri wa kuwahamasisha waislam nchini kote wamchague muislam mwenzao JK(bila kujali uwezo wake wa kiuongozi).... Sasa hivi mikakkati imeenezwa kuanzia misikitini hadi kwenye magazeti ya kiislam(al huda nas annoor).... Ila kiongozi yeyote wa dini ya kikristo anayethubutu kunyanyua mdomo kuhusu uchaguzi atakemewa vikali si tu na mashekhe bali pia na makada wa CCM(Kinana na Makamba) eti analeta udini katika siasa..... Mpaka sasa sijawahi kada yeyote wa CCM aliyetoa tamko kulaani magazeti ya kiislam yanavyomchafua Dr. Slaa!!!!! Ila itokee gazeti la kikristo liandike mambo ya mgombea yeyote wa uchaguzi(iwe kwa kumfagilia au kumponda) kwa haraka sana makada wa CCM watalaani vikali!!!

Kwa mfano Kakobe aliwasistiza wumini wake kuwa kwake yeye mgombea aliyeahidi huduma za afya na elimu bure anafaa kuchaguliwa. Wakati akitoa elimu hiyo ya uraia tayari wagombea wawili Dr. Slaa na Prof. Lipumba walishatoa ahadi za kutoa huduma hizo bure......Ila angalia makada wa CCM na mashekhe walivyomwakia Ask. Kakobe eti anampigia kampeni Dr. Slaa(sababu ndie mpinzani mwenye nguvu).... Wanataka kuwaaminisha wa-TZ kuwa Ask. Kakobe alimlenga Dr. Slaa katika maneno wakati ukweli ni kwamba hata Prof. Lipumba alikuwa na sifa zilizotajwa na Ask. Kakobe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu,

Haya mambo ya dini yapo wazi sana. Mimi huwa nasikiliza redio Imani kila siku. Redio hii waziwazi wanamshambulia Dk. Slaa si kwa ubaya wake , bali kwa dini yake! Wanasema kabisa kwamba yule atawaumiza waislam!
Siku moja allitwa shehe Mwaipopo na mwenzakwe mmoja na wakakumbushia mambo ya Mwembechai na kusema ulikuwa mkakati wa wakristo kuumiza waislamu. Wakaenda mbali zaidi kwa kusema , pamoja na kwamba Raisi alikuwa ni Hassan Mwinyi (muislamu), bado si yeye aliyekosa, bali alikuwa ni Augustino Mrema ( Mkristu), kwani yeye ndo alikuwa Waziri wa mambo ya ndani na akamdanganya Mwinyi hivyo Mwinyi kuingia mkenge kwa kuua Waislamu wenzake!
Bila kumung'unya maneno wakadai kwamba waislamu wasimchague Mkatoliki, kwani huo utakuwa mwanzo wa kutawaliwa na Vatican!
Lakini cha ajabu wamesahau kwamba, Omar Mahita (Muislamu) ndiye aliye watwanga risasi wapemba wale ambao ni Waislamu wenzao. Wamesahau kwamba wakati huo Raisi wa Zanzibar alikuwa ni musilamu!
Tatizo ni kwamba, wanaohubiri siasa za chuki ya dini kwenye hiyo misikiti ni watu wanaofaidika na uongozi wa kifisadi uliopo CCM. Si waislamu wote wanapenda hizi chokochoko, ila wengi wanaamini hayo yasemwayo na mashehe kiasi kwamba wamejenga chuki ya wazi kabisa.
Kuna rafiki yangu sasa hatuongei, kisa tu nilimwambia JK ameshindwa kufanya maamuzi mazito...yeye badala ya kunisikiliza aling'aka " kwa hiyo tumchague mkatoliki?"
Nikajiuliza, swala la Mkatoliki linakujaje wakati tunajadili uongozi?
Radio imani inaeneza ujumbe hatari sana, na nashangaa kwanini serikari inainyamazia. Ina dalili zote ya kwamba ni redio ya vigogo wa CCM walioko Morogoro na sehemu nyingine za nchi. Magazeti yanyosomwa pale ni yale ya RA (Mtanzaia etc) , na yale ya kiislamu, ya CCM (Uhuru) na ya serikali (Habari leo). Pia Mwananchi huwa wanalisoma, pale tu lisipokuwa na habari za DK Slaa!
Kuna ujumbe amboa kila siku unatolewa wakisema " Waisilamu wananyanyaswa sana kote ulimwenguni, na waislamu wanateswa, wanachinjwa na wana uawa kwa sababu tu ya kuwa waislamu"!
Muda Mwngi pia huutumia kushambulia Marekani kwamba ni adui wa Uislamu! Cha ajabu Raisi wetu wa JMT Mh. DK Jakaya Kikwete ni muislamu safi na ambaye ameikumbatia Marekani kama baba na mama yetu! Je kwanini basi wasimkemee JK badala yake wanawadanganya waislamu wasio jua hila za hawa viongiozi wa kidini, kwamba Marekanioni adui huku JK akionyesha waziwazi mapenzi yake kwa Bush?

KWA HAKIKA UMENISIKITISHA NA HOJA ZAKO FINYU ZISIZO NA MSHIKO KWANI ZIMESHEHENI UONGO MTUPU!!!
KWANZA UMEMZULIA UONGO RAIS MSTAAFU A.H.MWINYI KWA KUHUSIKA NA MAUWAJI YA MWEMBECHAI!!! HIVI WEWE UNAISHI DUNIA GANI? HAYA MAUWAJI YALIFANYIKA 13.02.1998 SASA KWANINI UNAMSINGIZIA MWINYI KAHUSIKA UNAACHA KUMTAJA MZEE WENU WA UWAZI NAUKWELI BWM?

CHUKI ZIMEKUTAWALA NA UCHUNGU ULIONAO DHIDI YA UISLAMU NA WAISLAMU UNAJITOKEZA WAZIWAZI KTK MAELEZO YAKO PALE UNAPOKEBEHI HOJA ZA WAISLAMU KUNYANYASWA!! LEO ANAEKATAA KUWA MAREKANI NI ADUI WA UISLAMU BASI HUYU ANAUPUNGUFU WA AKILI!! NANI ANAEWAUA WAISLAMU WA AFGANISTAN, IRAK, NA ANAEWATESA WAISLAMU KTK JELA ZA GUANTANAMO NA ABU GURAYB KAMA SIO MAREKANI? UNATHUBUTU KUKANUSHA HAYA?

NANI ALIEWASWEKA JELA BILA YA KUWAFUNGULIA KESI MASHEHE WA KIISLAMU KTK UTAWALA WA KIIMLA WA ANAEITWA BABA WA TAIFA? KISA NI MASHEHE KUTOKUKUBALIANA NA BABA HUYO KISIASA!!

NANI ALIEWANYANGANYA WAISLAMU SHULE ZAO WALIZOJENGA KWA NGUVU ZAO KTK MIAKA YA 60 NA KUZITAIFISHA HUKU SEMINARI ZA MISHENI ZIKIACHWA MIKONONI MWA KANISA KAMA SIO UTAWALA WA JULIUS?

NANI ALIELETA UBAGUZI WA KIDINI WAKATI WA KUCHUJA WANAFUNZI WANAPOINGIA KIDATO CHA KWANZA KAMA SIO UTAWALA WA JULIUS?

KWANINI JULIUS NYERERE ALIMUINGIZA PADRI KTK KAMATI KUU YA TANU ILI KULINDA MASLAHI YA KANISA?

KWANINI PROFESA KIGHOMA MALIMA ALIPOJARIBU KUBADLISHA MTINDO WA MAJINA KWENDA KTK NAMBA ZA MITIHANI ALIANZA KUSHAMBULIWA NA WAKIRISTO? HATA NA KIFO CHAKE KILIKUWA NA UTATA!!!

KWANINI BENJAMIN WILIAM MKAPA ALIWAUWA WAISLAMU WA KISIWA CHA PEMBA MWAKA 2001? KISA TOFAUTI ZA KISIASA!!
KWANINI BWM ALIWAUWA WAISLAMU WA DAR-ES-SALAM MWAKA 1998?

SASA KATI YA NYERERE NA MKAPA NA MWINYI NA KIKWETE NI WAKATI GANI WAISLAMU WAMEPATA MISUKOSUKO? UTAJAZA WEWE!!
UFISADI WOTE WA JULIUS NYERERE NA MWANAE BWM HUU HAPA SOMA:

http://www.igs.net/~kassim/mwembechai/chapt1.htm

SASA LEO UTAMWELEZA NINI MUISLAMU AKUELEWE KUWA PADRE SLAA NI TOFAUTI NA NYERERE NA MKAPA? KILA SIKU SLAA KTK KAMPENI ZAKE ANASISITIZA KUMUENZI NYERERE KIVIPI? HEMBU SOMA HAPA:

http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=20196

SLAA ANATAKA AKIINGIA IKULU ATAIFISHE SHULE ZA KIISLAMU!! SASA HUYU SI NDIO ANATAKA KUMWAGA DAMU ZA WA TZ? NANI ATAKUBALI SHULE YAKE ITAIFISHWE KTK KARNE HII YA 21?

SLAA NI HATARI NA AEPUKWE KAMA UKOMA!!!
 
Wakuu,

Haya mambo ya dini yapo wazi sana. Mimi huwa nasikiliza redio Imani kila siku. Redio hii waziwazi wanamshambulia Dk. Slaa si kwa ubaya wake, bali kwa dini yake! Wanasema kabisa kwamba yule atawaumiza waislam!

Siku moja allitwa shehe Mwaipopo na mwenzakwe mmoja na wakakumbushia mambo ya Mwembechai na kusema ulikuwa mkakati wa wakristo kuumiza waislamu. Wakaenda mbali zaidi kwa kusema , pamoja na kwamba Raisi alikuwa ni Hassan Mwinyi (muislamu), bado si yeye aliyekosa, bali alikuwa ni Augustino Mrema ( Mkristu), kwani yeye ndo alikuwa Waziri wa mambo ya ndani na akamdanganya Mwinyi hivyo Mwinyi kuingia mkenge kwa kuua Waislamu wenzake!

Bila kumung'unya maneno wakadai kwamba waislamu wasimchague Mkatoliki, kwani huo utakuwa mwanzo wa kutawaliwa na Vatican!

Lakini cha ajabu wamesahau kwamba, Omar Mahita (Muislamu) ndiye aliye watwanga risasi wapemba wale ambao ni Waislamu wenzao. Wamesahau kwamba wakati huo Raisi wa Zanzibar alikuwa ni musilamu!

Tatizo ni kwamba, wanaohubiri siasa za chuki ya dini kwenye hiyo misikiti ni watu wanaofaidika na uongozi wa kifisadi uliopo CCM. Si waislamu wote wanapenda hizi chokochoko, ila wengi wanaamini hayo yasemwayo na mashehe kiasi kwamba wamejenga chuki ya wazi kabisa.

Kuna rafiki yangu sasa hatuongei, kisa tu nilimwambia JK ameshindwa kufanya maamuzi mazito...yeye badala ya kunisikiliza aling'aka "kwa hiyo tumchague mkatoliki?"

Nikajiuliza, swala la Mkatoliki linakujaje wakati tunajadili uongozi?

Radio imani inaeneza ujumbe hatari sana, na nashangaa kwanini serikari inainyamazia. Ina dalili zote ya kwamba ni redio ya vigogo wa CCM walioko Morogoro na sehemu nyingine za nchi. Magazeti yanyosomwa pale ni yale ya RA (Mtanzaia etc) , na yale ya kiislamu, ya CCM (Uhuru) na ya serikali (Habari leo). Pia Mwananchi huwa wanalisoma, pale tu lisipokuwa na habari za DK Slaa!

Kuna ujumbe amboa kila siku unatolewa wakisema " Waisilamu wananyanyaswa sana kote ulimwenguni, na waislamu wanateswa, wanachinjwa na wana uawa kwa sababu tu ya kuwa waislamu"!

Muda Mwngi pia huutumia kushambulia Marekani kwamba ni adui wa Uislamu! Cha ajabu Raisi wetu wa JMT Mh. DK Jakaya Kikwete ni muislamu safi na ambaye ameikumbatia Marekani kama baba na mama yetu! Je kwanini basi wasimkemee JK badala yake wanawadanganya waislamu wasio jua hila za hawa viongiozi wa kidini, kwamba Marekanioni adui huku JK akionyesha waziwazi mapenzi yake kwa Bush?

Mkuu nakugongea Thanks! big up.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom