Simwelewi mpenzi wangu

Simwelewi mpenzi wangu

Yaani pamoja na u "cute" wote huo unaachwa kwenye mataa ya fire kuelekea jangwani! jiangalie upya!
 
Shina la mahusiano ni mawasiliano kati ya wapendanao....ndio maana kila siku tunaweka xtreem katika visimu vyetu ili tupate kuwasiliana na wale tuwapendao.....
Sasa ikiwa mwenzio hataki mawasiliano na wewe lazima kuna jambo na sio dogo.....
Jambo la msingi ni kumtafuta ana kwa ana na kulizungumzia kwa kina.....
Otherwise chapa lapa

habar ya asubuh mkuu sijui umepata chai ya nini maana naona madini tu yanatoka
 
hahahha si cheki et ni mazuri but ilitokeaga kwangu very same thing u r goin thru now... wat i dd is i asked why this, was satisfied na majibu + na lugha ya picha i went kimya too..never contacted him again... n thats how it ended!
toka nduki mama usibembeleze mtu mzima na matez dume yake kabla hujaanza kuimba Jonny ya yemi aladee.
 
Habarini wana JamiiForums.

Nina mpenzi ambae mwanzoni tulikua tunawasiliana vizuri mara kwa mara kujuliana hali na kujulishana yote yanayoendelea.

Hivi sasa amebadilika sana kiasi kwamba nikimtumia sms hajibu,anakaa kimya,nikimpigia anasema yupo bize au amelala amechoka.nikimuuliza sababu ya kuwa kimya hatoi jibu.

Anapotezea mwezi umeshaisha na hal hiyo bado inaendelea nifanye nini wadau.

Jaribu kujichunguza sana lazima kuna kitu behind, Inawezekana kuna kitu umemuumiza sana, amekua dissappointed. Inawekana amekwambia sana na wewe humsikii ndo maana ameona akae pembeni akuchore kuna force gani behind yako. Shida wasichana wengi wakiwa kwenye mahusiano yaliyotulia wanaiga maisha ya watu na kuyaleta kwenye maisha yako na yanaharibu mahusioano kabisa. Ki ukweli kila mtu anamaisha anayoyataka hapa duniani. Na wengine wakiona unaishi kama fulani na unataka yeye awe kama fulani wanaaamua kukaa kimya kuangalia maisha yao binafsi. Kwani wanawake wa siku hizi ni frustrutations tu. Ushauri wangu jipe muda jitafakari jaribu kuongea nae pole pole but healing always inachukuamuda sana so uvumilivu unahitajika. Ila uwe makini sana hapo ulipo ukipata kashfa yoyote ile ya kukosa uaminifu basi ndo sahau kabisa kuhusu huyo mtu.
 
hivi kama humtaki mtu si umuambie tu kistaarabu kama ulivyomtongoza ndo umwambie ukweli kuliko kumfanyia visa inauma jama..wanaume kuweni na huruma wenzenu tukipenda tunapenda kweli nyie mnatamani tu mkishaonja mpiko mnasepa kimya kimya khaaa hivi hamjui uchungu wa mapenzi? mwaya huyo mtu ndo kashaonja mpiko mwingine labda hakuridhika na mpiko wako..pole next time ukipata mwingine usitoe yote mbanie afu usiwe mwepesi kumtafuta tafuta subiri akutafute yeye ringa mtt wa kike sometime akipiga simu usipoker hapo hapo au akikuita usiende fasta siku nyingine mwambie niko bussy asikuone hata wiki ili akumiss ukijipeleka peleka anakuchukulia poa..sio ukiombwa tu tunda unatoa hapo hapo unajua unapendwa wakati mwingine mgomee aone ugumu wa kukupata and am sure huyo anajua unampenda sana so anajua hata asipopokea calls zako siku akikupigia akakuita utaenda fasta. watch out ladies tambua thamani yako sio kila anayekuaproach anakupenda kweli wengi wao wanataka kuonja mpiko tu..tuishi nao kwa akili mbona we ndo atakua anakutafuta na simu unamkatia...ringa dada.
 
Wanawake tuache kulia lia bwana kama amekaa kimya unamchunia tu japo najua unaumia mama. Pole
 
We kama kila akiongea na wewe unataka hela unategemea nn...anakupotezea taratibu mpaka atapokublock kabsa
 
Back
Top Bottom