Habarini wana jf.Nina mpenzi ambae mwanzon tulikua tunawasiliana vizuri mara kwa mara kujuliana hali na kujulishana yote yanayoendelea.hivi sasa amebadilika sana kiasi kwamba nikimtumia sms hajibu,anakaa kimya,nikimpigia anasema yupo bize au amelala amechoka.nikimuuliza sababu ya kuwa kimya hatoi jibu...anapotezea.mwezi umeshaisha na hal hiyo bado inaendelea nifanye nini wadau
Ushauri mnaoomba unaboa?
Hapo maamuzi unayo mwenyew ukitaka endelea naye ukitaka achana naye.
Mnatuchosha kweli si mlipendana wenyew? Kwan kuna mtu aliwaunganisha? Na kwann leo uje kwetu ambao hata hatukuweko?
Kokap
Habarini wana jf.Nina
mpenzi ambae mwanzon tulikua tunawasiliana vizuri mara kwa mara
kujuliana hali na kujulishana yote yanayoendelea.hivi sasa amebadilika
sana kiasi kwamba nikimtumia sms hajibu,anakaa kimya,nikimpigia anasema
yupo bize au amelala amechoka.nikimuuliza sababu ya kuwa kimya hatoi
jibu...anapotezea.mwezi umeshaisha na hal hiyo bado inaendelea nifanye
nini wadau
Alishakupichua?? Kama jibu ni ndio jua kuwa ashakuchoka. Chapa lapa!
Pole nadhani naweza kusema kua umempenda akajua au hakutaka mapenzi yakuendelea kama ulivyo dhani wewe,kumbuka kua unaweza kumpeleka Mbuzi mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji,sasa basi jikaze na fanya iwe somo kwako,na utakae mpata mwengine usibwage moyo ukadhani umefika kaa kimitego mitego,huyo usimpigie cm wala sms tulia kimnya kwani kimnya nacho dawa...........Habarini wana jf.Nina mpenzi ambae mwanzon tulikua tunawasiliana vizuri mara kwa mara kujuliana hali na kujulishana yote yanayoendelea.hivi sasa amebadilika sana kiasi kwamba nikimtumia sms hajibu,anakaa kimya,nikimpigia anasema yupo bize au amelala amechoka.nikimuuliza sababu ya kuwa kimya hatoi jibu...anapotezea.mwezi umeshaisha na hal hiyo bado inaendelea nifanye nini wadau