Habarini wana JamiiForums.
Nina mpenzi ambae mwanzoni tulikua tunawasiliana vizuri mara kwa mara kujuliana hali na kujulishana yote yanayoendelea.
Hivi sasa amebadilika sana kiasi kwamba nikimtumia sms hajibu,anakaa kimya,nikimpigia anasema yupo bize au amelala amechoka.nikimuuliza sababu ya kuwa kimya hatoi jibu.
Anapotezea mwezi umeshaisha na hal hiyo bado inaendelea nifanye nini wadau.