Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,604
Katika gazeti la The Guardian la tarehe 28 August 2015 inaripotiwa kwamba Magufuli kasema " we will end the shame in our schools". Kwa kiswahili chepesi ni " tutamaliza aibu kwenye shule zetu".
Najiuliza maswali
1. Magufuli anaona shule zetu zinatia aibu. Je aibu hii kaleta nani? imeletwa na UKAWA au rais anayemaliza kipindi chake au kama wanavyosema wengi " miaka 10 iliyopotea?
- Je Magufuli anaona ukweli kwamba watanzania wamepoteza miaka hiyo 10? Je anaanika udhaifu wa serikali ya Kikwete?
Kwenye gazeti la NIPASHE la tarehe 28 August 2015, Magufuli amesema " Nikishinda sina deni la fadhila". Sote tunaelewa kwamba serikali inayomaliza kipindi chake au miaka kumi iliyopotea, kulikuwa na ulipa fadhila sana. Je Magufuli anampiga dongo JK?
Simwelewi Magufuli