Simwelewi huyu mwanaume

juzi kati si ndo ulipost ule uzi wa sms za mwizi?! umeuona jamaa ameomba PM kama yule sista akiendelea kuzinguliwa na jamaa yake?! akaongezea na maneno ya kunogesha nogesha! chek utaona!!
taratibu basi mkuu, usijeniharibia tena. kuna watu wamesusa huko, nataka niwape somo!
 
nikiwe njoo huku mama.......usipate tabu.
 
Last edited by a moderator:
ha ha wajua nimemzoea afu ni mhandsome balaa ananisaidia kuweka heshima mjini sitongozwi hovyo afu na job wanawake wote wananipa salute
[FONT=century
gothic]Chezeya kupenda na kupendwa weye
nikiwe!!!! siku ya
tatu kazi zimelala!!!

CC: @FP[/FONT]
 
Last edited by a moderator:
una maanisha tukafanye 3some ama?ila tushayazungumza
kama home kwako hafiki
basi yupo home kwake may be amechoka kushea bed yako hebu kashee naye
yake uone......!!!!
 
ha ha niende kwake kufanya nn?siogopi m2 mie,ni wake akiwa kwa mkewe,akitoka nje ni wa umma huyo,2day tumekutana lunch time hotel flan city centre tukachukua rum tukazungumza na kumalizia na make up s3x
kwa nini usimfuate home kwake?unaogopa mkewe eeh.achana na mme wa mtu
 
tushaongea and tuko fresh,nilitaka kudata ujuee jamaa ni mkali kinomaaa
Mmeshayazungumza?....kitu
kipya hakitamakiza huo msongo.....tulizana,,,,talk to Sir
God........think ur future,,,, huyo mlikuwa mnashereheshana tuu....usjie
kuwa kiburudisho cha wageni.....
 
haya wil do that saivi tutakuwa tunameet hotel kwa xana,afu kwangu itakuwa mara moja moja
hapana sijamaanisha
3some ninamaanisha hubadilishe mazingira badala kushea bed yako kashee
naye ya kwake
 
tushaongea and tuko fresh,nilitaka kudata ujuee jamaa ni mkali kinomaaa

hahahaa! Mkali ndio mzuri bwana, anakuchenjia then anakubembeleza.. Hahahaa unadekaje hapo kwenye kubembelezwa!!
 
tatizo huna maujuzi ndio maana nakupotezea
 
hahaha kanambia alikuwa anapima nimekolea kiasi gani,wajua it was about having fun xaxa akahakikisha ananikoleza then akakaa pembeni kutest kama stil namchukulia poa ama aje aje pale kati
hahahaa! Mkali ndio
mzuri bwana, anakuchenjia then anakubembeleza.. Hahahaa unadekaje hapo
kwenye kubembelezwa!!
 
hahaha kanambia alikuwa anapima nimekolea kiasi gani,wajua it was about having fun xaxa akahakikisha ananikoleza then akakaa pembeni kutest kama stil namchukulia poa ama aje aje pale kati

hahahaa! Mwambie sikunyinge hasikujaribu bana.... Anakutia mapresha cheki ulivyokuja mbiombio kuomba maushauri, kumbe mwenzio anakutest lol.!
 
ha ha niende kwake kufanya nn?siogopi m2 mie,ni wake akiwa kwa mkewe,akitoka nje ni wa umma huyo,2day tumekutana lunch time hotel flan city centre tukachukua rum tukazungumza na kumalizia na make up s3x
Yesu angerudi muda huo jiulize ungekuwa wapi now?have a nice week end dogo
 
Ha ha ha sasa habari za kurudi yesu wakati tukido zinatoka wapi?kwanini tulipewa hivi viungo vya siri? C ili tuvitumie?niache nile usichana wangu best nikiumaliza nitazaa kababy boy niwe bize kukalea na nitastaafu rasmi ishu za mikasi
Yesu angerudi muda huo jiulize ungekuwa wapi now?have a nice week end dogo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…