++
nikiwe
Ha haa haa Nilidhani unapolalamikiaga wanaume huwa huna kabisa Kumbe yupo shem!!
Back to the topic
Mpe muda huku ukidadisi undani wake ingawa nina hofu unaweza ukawa miongoni mwa wanawake wasio na muda na mwanaume asiyejali..
Utakuwa na wangapi? Tulia mahusiano mema hutumia muda kujengwa.
++
haha ha nilijua lazima upige dongo,si awe muwazi basi mie cna neno sema nilianza kumzoea,so nivute kitu kipya?
Jibu nimepata ila ni ngumu kukubali kutemwa,mie siachwagi huwa naacha
Jibu nimepata ila ni ngumu kukubali kutemwa,mie siachwagi huwa naacha
Habari zenyu banaaa ni hvii huyu jamaa ninayeshea naye bed sometimez kachange gafla,anapotezea calls na sms zangu,home kwangu hafiki tena n.k anadai yuko bize ila nahisi kama ameopoa goma lingine,wanajamvi nifanyeje?na mie nivute kitu kipya fasta ama nimsikilizie?amenifanya nipoteze interest na kazi siku 3 hizi,naomba maoni yenu.
Ni pm...haha thats wat sexmates do...find f.uck forget