Simwelewi huyu mwanaume

Simwelewi huyu mwanaume

Bado hajafanya maamuzi yake ni yupi kati yenu...

Wewe au huyo mwingine ambae bado humjui...


Cc: mahondaw
 
Ila Donaldson don nilishatolewa barua sasa sijui nifanyeje
anakupenda huyo labda hauvutii ila ana mipango na wewe usijali sisi wanaume tunapenda kuwatambulisha wapezni wetu wazuri ni kama nyie mkiwa na bwana mwenye pesa unaona raha kumtambulisha kwa mashosti zako.
 
Usilazimishe kuolewa hayo ndio madhira yake pole sana
 
anakupenda huyo labda hauvutii ila ana mipango na wewe usijali sisi wanaume tunapenda kuwatambulisha wapezni wetu wazuri ni kama nyie mkiwa na bwana mwenye pesa unaona raha kumtambulisha kwa mashosti zako.
Hahahaha ukwelo ulio uchi huu binti havutii kumbe
 
Kwani tayari ushakuwa mkewe? Hata kama mi hapo sikutambulishi kama mke, hapo kwa sasa hadhi yako girlfriend au mchumba
 
Wakati mnaanza mlikubaliana project yenu iishie wapi? Ndoa...kuburudishana au kuzaa basi? Okay inawezekana hamkua na malengo sio tatizo.

Wewe kama mtu mzima tazama viashiria vyote kuona kama kuna future pia ni vema ujipe confidence umuulize kistaarabu mpango gani anao kwako kwa nia nzuri tu...onyesha kua ungependa ujue hatma ya future yenu na zaidi mtoto.
Be open and straight bila kumvunjia heshma na utu wake as unajua wanaume wa kibantu hatupendi kuhojiwa hojiwa.
 
Mfanye jamaa akuonee ww ni wa thamani kwake. Uzuri mna mtoto hebu mtumie km kiunganishi kwenu.
Mfano zoezi dogo tu. Mnapiga picha ya pamoja yaani ww, mtoto na jamaa. Hii inaweza leta upendo na kumfanya jamaa aone umuhimu wa mke.
Ss wanaume kuna wakati tunakuwa wagumu sana kukubali kile tulichonacho sbb huenda kina mapungufu. Nakumbuka baada ya wifi yako kujua ana mtu mwingine na pia kuniletea kiburi. Mtu akiniambia huyo ni mke wako. Hasira inajaa natamani kummwambia huyu siyo mke wangu basi naishia kumuangalia tu na kutikisa kichwa ila baadae nilipiga chini..
 
Una kiburi sana wewe ndo mana hakutaki anajuta kukufahamu utaishia kulambwa kila siku mwenzio anatafuta chuchuchu kama mdoli
 
Hahaha, hebu rusha picha tukuone ulivyo kwanza
 
Pole mdada yawezekana huyo mwenzio kuna kitu na huyo mmama au huyo mama alitaka mwanaye awe naye laa kuna mwingine aliwahi muona, sasa muulize kwanini alipo ulizwa na huyo mama alishindwa kujibu? Nawe pia jiangalie unajiweka weka vipi maana wengine wadada kwa kujiweka rafu nywele ukisuka leo mpaka th8 mpaka tarehe 8/5
 
We shida yako iko wapi huduma zote unapata, kwa ndugu zake kakutambulisha afanye nn ufurahi? Hakuna binadamu aliye perfect 100% labda uzae Wa kwako
 
Hamia kwake mazima kuna sheria ukikaa na mtu kupika na kupakua miezi sita huyo ni mkeo kisheria kasoro cheti cha ndoa
 
Nimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini

Kwa hiyo weye shida yako nini hapo?Binafsi sijakuelewa hata punje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom