Simuoni nimtakae

Mara mwanaume pesa, mwanaume vile, mara hv, mara you make your man, mara hv, eehhhh .......... sorry lara 1 mm huwa nashindwa kukusoma vyema ......... just tell me your attitude for favor ....... njoo PM lakini sio hadharani!!!!!

Ukiona mwanaume anahonga ujue kuna mwanamke aimshika pabaya hadi minoti ikaanza kumtoka, so kama uko na bahili get to work kumfanya afungue wallet hio.

Sio unamuacha bahili wako na kudandia wahongaji. Msione vyaelea vimeundwa ati!!!!!!!!!!!!!!
 
keep on waiting the one for you is somewhere you not yet reach, so the day you reach there you will meet him
 
weeeeeeeee wengine ni mifupa iliomshinda fisi wewe binadamu utaiwezea wapi?

Hata hao walionao wanawake wengine walikua Fupa lililomshinda fisi! Wenzio wakajitoa ufahamu Kuliponda fupa hilo. kuliloweka na chumvi na limao mpaka likalainika!!!!!!!!!

Sasa wana lila Fupa lililowashinda fisi lainiiiiiiiiiii kama soseji.

My point is HAKUNA ALIE MSAFI!!!!!!!!!!!!! Ukitafuta msafi utatafuta sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Chukua chuma chakavu kiyeyushe, kifue uzuri then tengeneza kitru kipya cha ukweli na uhakika!!!!!!!!!
 

Ujue lara 1 we mkali sana,,, nashangaa udsm hukutoka hata na mchumba wa kufanya nae maisha
 
Last edited by a moderator:
Ujue lara 1 we mkali sana,,, nashangaa udsm hukutoka hata na mchumba wa kufanya nae maisha

Yaaani mimi nina wachumba wengi sanaaaaaaaaa! Nashindwa kuchagua! Hadi saivi niko Udsm na supply bado babu kubwa including walimu voda fatsaaa hawa waliomaliza Maters.

The thing is Mkata kiu THEE WHO IS MUCH BLESSED MUCH IS EXPECTED FROM THEE!!!!!!!!!!!!! So im still sampling and sampling!

I just dont want after 10 yrs of marriage i realise that i haven found the 1 yet!!!!!!!!!!! SO IM TAKIN MY TIME!!!!!!!!
 
ID yangapi hii maana hata kuomba kukaribishwa umejisahau !unamambo we mtoto!!ila nenda uswahilini hapa jeifu utapoteza mda!wengu humu tuna stresses kila raheli zaidi unaweza kuishia kumegwa at once!

Khaaa


Hayo makavu balaa.
 

Anafikiri kuna kwanda cha kuchonga fine men.........!
 


Mi nafikiri kuoa au kuolewa si jambo kama kuenda sokoni na kununua embe/mchicha.NO..NO.Watu wana invest muda mrefu kwa kumuomba mungu kwa Imani,Issue ya Mangula ni tofauti kabisa mangula alioa zamani sanaaaa,mke wake wa kwanza alifariki miaka karibu 10 iliopita,pia ile picha ya wale wazee pia inawezekana watu wanabariki ndoa,kama unavyojua vijana wengi ninaowaona wanaishi na mwanamke bila ndoa,baada ya miaka kadhaa ndo wanaenda kubariki,So suala la ndoa halina ujanja/usomi,thats why utakuta mwanamumemmsomi anaoa mwanamke wa kawaida sana,aliokuwa nao previous anawaacha.So muhimu ni kuomba kwa IMANI,AJITAHIDI KUOMBA KWA KUTOA SADAKA KWA DHUMUNI HILO KWA IMANI."NIJARIBUNI KWA KUTOA,NANYI MTAONA NITAKAVYOWAFANYIA"Haijaandikwa sehemu nyingine ya kumjaribu mungu zaidi ya kutoa,toa uone,kwa imani utampata Mume/Mke mwema.atakaekupa Mungu,sio wewe binafsi.yeye anayajua mapungufu yako usiyoyajua.
 
Tatizo lako ni kiburi na dharau. Mtu kama wewe unahitaji mtu wa kukutandika bakora, sijui wakurya humu JF tupo wangapi? Ulivyomjibu Maubero, ukimjibu mkurya hasira zake ataichapa ata kompyuta. Ni ache mautani dada unaelekea una kiburi, dharau na kuna watu wanakudanganya kwamba wewe ni mzuri.
 

mwe! u r so bright,daily nasoma comment zako naishia kupiga saluti
 

u are desparate eh?
 
Wait for Gods plan is the best
 

Asante kwa sifa ulizzonipa.
 
Mapenz bwan yana sarakas nying xana,bt ninachoamin mim ktk mapenz kuna nafas btn kuamua namna ya kuish

Na pia kumbka hautapata a perfect man % otherwise nawe uwe perfect asilimia zote maana utakuwa na uwezo ulio mkubwa kumjua mwenzio,hvyo kupata right selection.

Pia kuna jmbo umelificha hapa mf hujasema why uliachana na mwenzio, na kama sabab ilikuwa n kutofanana na wewe basi haukuwa makin to make ua choice,kwahiyo kinachotokea leo n kutaka kufanya masahihsho ya makosa ya kwanza kwa mtu ambaye hakufanya hayo makosa.

By the way kuwa makini haimaanish unaweza pata mwema, bt kufanya uchaguzi ulio sahih in a specific tyme.

usiku mwema
 

umeniwahi mtani,
 
Pole sana na hili la kushindwa kumpata mchumba/mume mtarajiwa ambaye anatimiza vigezo vyote unavyovitaka. Binadamu hatuko perfect hivyo kumpata mtu ambaye atatimiza vigezo vyako vyote kwa 100% hivyo kumuona anastahili kuwa mchumba/mume mtarajiwa ni kazi sana katika dunia ya leo. Angalia ni vigezo vipi ambavyo unaweza kuvipunguza ili uweze kuongeza wigo wa kumpata mume mtarajiwa. Kila la heri na baraka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…