Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,756
Hvi mkuu huwa unatypia simu ama compyuta mana daah nyuzi moja unaweza kuisoma 2 hrs sasa unawezaje kutype story ndefu kiasi icho.Daaahh.! Mods naona mmefuta uzi wangu alafu mmenianzishia wa kwenu..
Aya bhana.. Ila sio poa! Mngekuwa mnatupa na sababu za kuubadili/kufuta..
Hii ni siri yetu mkuu [emoji6]Hebu ninong'oneze kidogo........[emoji101] [emoji101]
Nyingine alikuwa aipost leoleo ila umeme umezingua so yupo offline.Lini tena
Za jioni dada!Nyingine alikuwa aipost leoleo ila umeme umezingua so yupo offline.
Tuombe kheri urejee ASAP.
God kamuingiza mwenzie mkenge aisee! [emoji23][emoji23][emoji23] ! Nasikilizia siku ya kupeleka buku ten la watuNimefurahi Ray kukutana na Godi gerezani.
Naandaa mbavu kabisa... Sio kwa vituko vile.
Nzuri brodah,sijui weye.Za jioni dada!
Hahahahahaaaaa lile nyapala kwa kulisoma tu naogopa sijui huko gerezani ikoje.God kamuingiza mwenzie mkenge aisee! [emoji23][emoji23][emoji23] ! Nasikilizia siku ya kupeleka buku ten la watu
Polisi mstaarabu! [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaaaaa lile nyapala kwa kulisoma tu naogopa sijui huko gerezani ikoje.
Ila Godi kwa mipango ni noma hakosi namna ya kupata buku ten.
Hata hivyo kumbuka Ray ana mtu wa The Board gerezani...
Hawakosi namna.
Yeah,nimeipenda personality yake.Polisi mstaarabu! [emoji23][emoji23][emoji23]