Kama alimuuliza kwanini asijibiwe?Huyo atimuliwe kimoja kabisa.
Haiwezekani aolewe bado ampe sifa ex.
Hiyo ni dharau kabisa.
Magu alishawambia acheni uvivu, mnakuwa wavivu kazini mpaka nyumbani! Acheni uvivuusiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....
alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga show balaa sijapata kuona, kauli hii ilimkasirisha sana mwanaume na kuhisi yeye hawez kazi.... ndipo ukazua ugomvi nakuamua kumtaliki mkewe
nb: wanaume wenzangu tusiulize habari za ma-x kwa usalama wa ndoa zetu
Mmmh ngoja wakuige walete mrejesho.Watu tuko kwenye ndoa inafikia atua unamwambia mwenzio mbona kiwango chako sio kama cha wengine ata akuulizi, sembuse simulizi
Na unamwambia ata sina ham na weweMmmh ngoja wakuige walete mrejesho.
Ni rahisi kumwambia Mbona siku hizi kiwango chako sio kama zamani? Hili swali ni rahisi na linajibika lakini hilo Swali lako majanga
Lazima akutengue kiuno... π π πNa unamwambia ata sina ham na wewe
Thubutu yakeeeLazima akutengue kiuno... π π π
Mmh nahisi anatulisha matongo poriMmmh ngoja wakuige walete mrejesho.
Ni rahisi kumwambia Mbona siku hizi kiwango chako sio kama zamani? Hili swali ni rahisi na linajibika lakini hilo Swali lako majanga