simulizi za ma-x zimevunja ndoa ya jirani

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....

alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga show balaa sijapata kuona, kauli hii ilimkasirisha sana mwanaume na kuhisi yeye hawez kazi.... ndipo ukazua ugomvi nakuamua kumtaliki mkewe

nb: wanaume wenzangu tusiulize habari za ma-x kwa usalama wa ndoa zetu
 
Magu alishawambia acheni uvivu, mnakuwa wavivu kazini mpaka nyumbani! Acheni uvivu
 
Watu tuko kwenye ndoa inafikia atua unamwambia mwenzio mbona kiwango chako sio kama cha wengine ata akuulizi, sembuse simulizi
Mmmh ngoja wakuige walete mrejesho.

Ni rahisi kumwambia Mbona siku hizi kiwango chako sio kama zamani? Hili swali ni rahisi na linajibika lakini hilo Swali lako majanga
 
Siku hizi jf kuna mada ambazo hazina uzito kabisa,na kama zina uzito muwasilishaji anakuwa hajajipanga kuwasilisha,ndio maana wengi wanaonekana wanafunzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom