Amakweli bora imeisha maana kazi zangu zilikuwa zimesimama kila mara naingia Jamii forum kuangalia kama inaendelea all in all hili nifundisho babukubwa hususani kwa askali wetu kanzu wenye tabia kama afande aliyekatwa kichwa kuwabambikia watu kesi hewa hongera zake mtunzi