Mi mbona sijaelewa Shunie !!!
Mwanzoni umeeleza Maggie secretary alikuwa na mapenzi ya dhati na mumewe, Sasa anataķa kumuua ahodhi mali zote hata sielewi kabisa yako wapi mapenzi?
Si angepokea mgao wake tu then kila mtu anakula kona badala ya kutoana roho kwa lengo la kukomba zote?
Japo najua bilionea atauwawa ila naye keshajidhatiti kurithisha watoto wake wa kando so Maggie hapati 100/100