SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

We umesema hujaisoma ila tayari umeshatanguliza dharau! usihukumu kitabu kwa ubaya wa kava lake, hata ivyo kitu kama wewe hujakipenda, usidharau ukiona wenzio wanakipenda.

Siwezi soma hadithi ya kitoto kama hii. Ila nyie level yenu someni. Mbona mi sina dharau? Nipo social sana
 
We umesema hujaisoma ila tayari umeshatanguliza dharau! usihukumu kitabu kwa ubaya wa kava lake, hata ivyo kitu kama wewe hujakipenda, usidharau ukiona wenzio wanakipenda.
Acha kujibishana na mpumbavu watu watashindwa kukutofautisha naye, kukaa kimya ni jibu kwa mtu wa aina hiyo cause kumjibu ni kumpa attention aweze kuendeleza upuuzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…