SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

wizi hauhusiani na dini, kikao cha leo kitakuwa kitamu, kama hakijaahirishwa wazee waanze kwenda kumbembeleza Mahamud ili amsamehe mzee mwenzao na hoja ya dini inakufa hapo
kwenye kikao komando njogopa asikose
 
Bado Ngoma ni ngumu, Mwenyekiti ni kama kaikomalia ishu ya Kafiri.
Mwenyekiti atakutana na kesi ya Mahadhi na mwanae kwenda kuvamia nyumbani kwa Mahamud, kumbuka kuna hoja ya ujumbe wa kumchafua mahadhi haujafanyiwa ufumbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…