miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Basi hakuna shida kwa leo ntawatolea ila kesho walipishe fain tu,alf kuna watu waroho sana ikifika usiku wanakua wa kwanza kuwahi jamvinikwanini umewaacha wamerawanyika vyombo wameacha hapo hapo halafu baadaye waanze kulalamika njaa
Uyo akifika cha kwanza alipe fainAfanye chap, afike kwenye kikao cha baraza
Futa kauli mzee, katika waandishi ambao hawana mbambamba humu jukwaani huyu mwamba ni namba moja, na ukumbuke hii sio kazi yake kuu ana majukumu mengine lakini kila siku lazima a post, kuna wangapi humu anawatupia episode nne halafu mwendelezo njoo WhatsApp, so kuwa mvumilivu subiri burudani.HAWA WALETA SIMULIZI WANAVOANZA WANAACHIA EPISODE ZA KUTOSHA ILA MWISHONI WANAANZA MARINGO HADI WABELEZWE.. SO SAD
jina la story inayomhusu dereva deusi,tafadhari!Abou Shaymaa tumetoka naye mbali kuanzia kwa kina Idd wa Zanzibar mwenzake na Njogopa, uje kwa Deusi dereva wa BMW mpaka huku
Naam vp tuongeze petrol ziwe lita 60 au 40 zinatosha?Daudi1 mwenyekiti njoo mzigo tayariii uku
Nyuma ya mlango wa aduijina la story inayomhusu dereva deusi,tafadhari!
Aiseeeee jiande kulipa fain kwa mwenyekitiNaam vp tuongeze petrol ziwe lita 60 au 40 zinatosha?
Au naye kapotea kama mbossoLabda tu ndugu wajumbe, tangu Abou Shaymaa aende kwenye mwenge amebadilika, tuunde kamati usijekuta alikutana na Hild akampa mlango usio!!
nazote mwanzo mwishoila huyu jamaa hana kona kona, maana hii simulizi yake ya tatu sasa anaileta hapa jf.
mimi kama timu talib aka kijana wa hovyo, goja nipige pafu mbili tatu ndio nijeman fabian unaitwa na mwenyekiti
Saa tatu nitakuwepo na ndo uwe muda wa kikaoAiseeeee jiande kulipa fain kwa mwenyekiti
Mwenyekiti wameanza kudai cha jion uku Daudi1Mkuu cha jioni
Ole wako uje ukiwa umekunywa ulanziSaa tatu nitakuwepo na ndo uwe muda wa kikao
Siwezi ongea vizuri bila kuonja kidogoOle wako uje ukiwa umekunywa ulanzi
mkuu Abou Shaymaa muda ndio huuuMwenyekiti wameanza kudai cha jion uku Daudi1
atakula fainiOle wako uje ukiwa umekunywa ulanzi
weee ndo umependa? kwa babu Mabula vipi?Katika hii simulizi kwangu nahisi mpaka inaisha hakuna sehemu iliyonidisimua kama pale Soraya anapotolewa bikra.