SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Soraya haonekani kama atakuwa fundi sana Kwa bed kutokana na kutoona sehemu yeyote kwenye hadithi yako ukionesha labda atakuwa amepewa mafunzo ya unyago

Japo ameonekana Kwa juhudi zake binafsi kumudu mchezo wa kukata kiuno hasa kupitia filamu alizoona kabla 🤗
Na mpori pori anajua kumpa raha soraya mpk anataman wawe wanafanya kila siku😅😅😅
 
Hahaha.............Mwanaume ni pumzi tu, ukiwa na uwezo wa kujulia angle za kumfanya mtoto wa tajiri afike kibo Kwa Kila tendo basi unaweza hata kumwambia mtukane Talib nayeye akatii amri 🤗

I'm sorry kumbe huu Uzi ni wa Vijana, ngoja Wazee tupite mbali 😜🚶🚶🚶
 
Hahahhahahhaaa umesahau kua humu ndani kuna Ke na Me pia,kipande cha soraya na higno utakiwi kukisoma ukiwa kwenye mkusanyiko wa watu utadhalilika 😅😅🙌
 
Hahaha........Uzi una hatari sana

Kuna sehemu akawa anaelezea vile Soraya anachukua mchi kisha anaanza kuupalaza taratibu kwenye mashavu ya kinu chake kabla hajaingia kichwa cha mchi 🙌

Nilikuwa natembea barabara kuwahi Ofisi za Pension, nikajikuta Mnala wa Babeli unasimama kama Askari wa Posta

Kumbe hata Babu zenu tunaweza kurudia Ujana Kwa kusoma hadithi kama hizi 😜
 
😅😅😅huu cha mtt,ana uzi wake mwingne unaitwa Asali haitiwa kidole aiseeeee uli ndo balaa usipokua makini unaweza kubaka.....sisi wengine tupo kwenye nchi za watu huku ndo tunapata mateso bila chuki😅😅😅
 
Mlinzi kashajisahau na yeye anajiona ana sauti katika nyumba ya watu wakati kadhaelezwa kuna wageni wa mabosi zake na wakija atoe taarifa ye kaanza kwa kukoloma kwel kila mtu anataka kuonesha umuhimu wa nafasi yake
Walinzi huwa nuksi sana sitasahau siku nilipoenda ofisi flani kuomba kazi alafu mlinzi akanizuia getini.
 
Hahaha........Uzi una hatari sana

Kuna sehemu akawa anaelezea vile Soraya anachukua mchi kisha anaanza kuupalaza taratibu kwenye mashavu ya kinu chake kabla hajaingia kichwa cha mchi 🙌

Nilikuwa natembea barabara kuwahi Ofisi za Pension, nikajikuta Mnala wa Babeli unasimama kama Askari wa Posta

Kumbe hata Babu zenu tunaweza kurudia Ujana Kwa kusoma hadithi kama hizi 😜
Ila we Babu🤣🤣🤣
 
😅😅😅huu cha mtt,ana uzi wake mwingne unaitwa Asali haitiwa kidole aiseeeee uli ndo balaa usipokua makini unaweza kubaka.....sisi wengine tupo kwenye nchi za watu huku ndo tunapata mateso bila chuki😅😅😅
Huo Uzi sijabahatika kuusoma, ngoja niutafute ili nijionee yaliyomo

Ongea vizuri na wenyeji huko ulipo unaweza kupata kampani , otherwise unaweza kujikuta unamaliza sabuni ukienda bafuni 😜
 
Ukiupata hautojutia kuusoma ila hakikisha unavyo husoma bibi awe pembeni yako😅😅😅.....genye nakomaa nazo tu mwenyew😩😩
 
Back
Top Bottom