Mha NUZI wangu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 294
- 255
Sawa mshenga, naona hii ishu umeikomalia, kwahyo shemeji hachomoi et?gundu amelitoa wapi, kumbuka twali ana mpango wa kwenda kuiba siku hiyo mpango utafel na wenzake watadkwa
Hahahah ni bangi zinampelekesha
Umesahau na ulanziHahahah ni bangi zinampelekesha sio yeye
Na muda huu tupo tumetulia tu kama sio sisi tuliokikorogaSisi timu talibu tumesha wachongea jera inawahusu
Tupo zetu geto tuna vuta bangiNa muda huu tupo tumetulia tu kama sio sisi tuliokikoroga
Hahahah mama mkwe kinamuuma Bikira ya mwanae, na hajui aliyembikiri ila akimuona atapoa tuSawa mshenga, naona hii ishu umeikomalia, kwahyo shemeji hachomoi et?
SEMA mama mkwe Kuna mda ni kama anazingua
Siyo kula kuku, yaani kula kuku kwa mrija. 🤣😂🤣😂🤣Mpango wakwenda kula kuku na kununua gar daslamu utafeliii
Mmetulia kweli mkuu, au mnatafuna vijiti kimyakimya😂😂🤣😂🤣😂Na muda huu tupo tumetulia tu kama sio sisi tuliokikoroga
Km kawaida tunatafuta vijiti uku tumewasha udi😅😅😅Mmetulia kweli mkuu, au mnatafuna vijiti kimyakimya😂😂🤣😂🤣😂
Ndivyo walivyo, Huwa wanajifanya kuwazingatia sana mabinti zao.Hahahah mama mkwe kinamuuma Bikira ya mwanae, na hajui aliyembikiri ila akimuona atapoa tu
Talib anamipango bana, tunapeleka Higgy ndani afu, na huku tunaenda kuchukua pesa ndaniHigno ana gundu, sitashangaa kama atanyea debe kweli.
Talib na Idd hawana mipango ya kueleweka.
Hapo mmetisha, ila niwasanue TU, shangazi yenu anakuja huko, kuweni makini.Km kawaida tunatafuta vijiti uku tumewasha udi😅😅😅
shangaz kashaona na ameacha mdomo wazi tunasubiri afumbeHapo mmetisha, ila niwadanue TU, shangazi yenu anakuja huko, kuweni makini.
Tunajenga nyumba na kufungua bar kubwa 😅😅Talib anamipango bana, tunapeleka Higgy ndani afu, na huku tunaenda kuchukua pesa ndani
🤣😂😅😂🤣🤣 Yaani Talib ndiyo masterplan wenu.Talib anamipango bana, tunapeleka Higgy ndani afu, na huku tunaenda kuchukua pesa ndani
DASLAM tunaendaMpango wakwenda kula kuku na kununua gar daslamu utafeliii
Ngoja tuoneshangaz kashaona na ameacha mdomo wazi tunasubiri afumbe
Shangazi hana noma, hua namkopa mpk elfu tano yakwendea kuangalizia biashara yangu ya dagaa nyasa🤣🤣Hapo mmetisha, ila niwasanue TU, shangazi yenu anakuja huko, kuweni makini.
Eewaaa haishiwi mipango🤣😂😅😂🤣🤣 Yaani Talib ndiyo masterplan wenu.
Vip team Iddd, wako wapi Hawa,😂😂🤣😂🤣DASLAM tunaenda
Talib muuza dagaaaaaaa😂🤣😂🤣😂Shangazi hana noma, hua namkopa mpk elfu tano yakwendea kuangalizia biashara yangu ya dagaa nyasa🤣🤣