SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Shukrani mkuu
 
Aiseh....!
Mgoma bado mbichi kabisa:
Ila nina uhakika kesho Soraya lazima aje kukata kiu yake kwa kijana mpole:
Higno kajitahidi kwenda taratibu.
Hadi hapo ni point of no return:
Shukran
 
 
"Hakika ungesema ameshikwa na jitu lenye nguvu sana, japo alikuwa ameshikwa na mkono laini wa kike lakini Higgno alivutika na kupanda kitandani, huku Soraya akisogea upande wa ukutani akimuacha Higgno aambulie harufu nzuri ya marashi"
 
Kiitaalam hapo inaitwa gusa achia twende nyumban kumeshakucha tuludi nyumban sasa mzee mahamud atakuwa ana wasiwasi nyumban alisikika bi liyla kijakaz wa soraya 😀😀
 
Leyla kama lipepo vile😂 anakuja kuchana mkeka dakika za mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…