Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 2,143
- 5,289
- Thread starter
-
- #481
Karibu jamii forums Karibu Kwenye Uzi Wa TEMBELE LA UWANIEbwanae hatimae nitakuwa nareply. Nimesoma kimya kimya tangu enzi za ASALI HAITIWI KIDOLE kwa minjali ya kutokuwa na acount, leo nimeitengeneza bhana
Karibu sana.Ebwanae hatimae nitakuwa nareply. Nimesoma kimya kimya tangu enzi za ASALI HAITIWI KIDOLE kwa minjali ya kutokuwa na acount, leo nimeitengeneza bhana
Mwaga vituKaribu jamii forums Karibu Kwenye Uzi Wa TEMBELE LA UWANI
ASANTE SANA MWAMBAKaribu jamii forums Karibu Kwenye Uzi Wa TEMBELE LA UWANI
Anautaka,Higgno atakuwa anakamua ndio Maana kawa kimyaDuh mtoto kaufuata
Hilda analichuma kweli tembele popote paleAbou sasa kuanzia hapa nataka kusikia jinsi hilo tembele la uani linavyochumwa kikwel kwel,sio kwa staili ya walevi wa hilda
popcorn ziko tayariAndaeni popcorn andaeni popcorn
Kula tu,Leo unalala doloNina popcorn gunia zima hapa
Shusha mzigo tuone kijana mpole anavosabanya kitumbua cha kihindi 😂Andaeni popcorn andaeni popcorn
hahahaaa unamaanisha Abou Shaymaa anatulaza na viatu leo?Kula tu,Leo unalala dolo
Nishaandaa na bangi za kutosha kama twaribAndaeni popcorn andaeni popcorn