SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Umetisha mtaalam Abou Shaymaa
 
Safi
 
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Higino Tokea mwanzo nilishamuona kuwa Hana akili, Leo ndio nimethibitisha Hilo,

👍👍Hongera sana mkuu kwa KAZI nzuri👍👍

Ushauri,,,,,...,
awamu ijayo ujitahidi kuweka kina Talib[Majambalika] wanaojielewa kidogo, yaani wenye akili kidogo na wawe wanazitumia😂🤣siyo mda wote wanatumia bange kuwaza na kupanga mipang😂

Mkuu, kuna Mimi hapa ambaye kwenye KAZI kama hizi mojakwamoja nakuaga upande kinzani(majambazi)🤣😂, lakni awamu hii niliamua kuwa mpole TU maana upande niupendao ulituminya saana.✍️✍️ Yaani hukutupatia hata mtu mmoja mwenye akili nzuri🤣😂🤣. Mfano, umetupa Talib, ldd na kina Vitus wote akili haziko sawa, ✍️✍️kwahiyo kwenye kazi ijayo naomba utupe japo mtu mmoja mwenye akili nzuri kama ulivofanya kule kwa akina Chitopela na Kolonzo🤝🤝🤝.

Yaani Higno alikua mlaini sana huyu, halafu hajakutana na watu wa KAZI, yaani simuluzi imeisha hajawahi hata kuchubuliwa na Ngumi,🤣😂😂🤣😂🤣🤣🤣

Nimewasilisha hiyo, kwa niaba ya TEAM UBAYA UBWEGE.
 
Asante kiongozi wetu wakijiji kwa kutoa shukran za dhati kwa niaba ya wanahulila🙏

man Fabian Tumwesige senior nasemaje hamnipa ng'o mm ni wa mwenyekiti wang kipenzi Daudi1 😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…