Simulizi: Taifa La Moyo Was Shetani


Inasikitisha na kufundisha...

Chapter Closed...


Cc: mahondaw
 
Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu!
Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni http://www.equatorstory.com/
Je umekuwa ukipata tabu kupost story zako hapa?
Hili ndo suluhisho lako.
Mimi nataka nkupe nafasi ya kuwa mmoja wapo wa kwanza kutumia hii website
unda account yako na uweze kupost story yako mpya.
 
Story nzuri ila kasoro ipo kwenye accuracy ya pesa.Yaani mfuko wa dhahabu almasi na madini mengine zaidi ya kilo thelathini thamani yake iwe bilioni moja tu? Pia kweli gari la kifahari liwe 20 au 30m?? Toyota vx v8 yenyewe ni zaidi ya 130m.Pia kweli nyumba za thamani au duka la nguo la thamani ndio liwe 5m???.Kwenye makadirio ya thamani hapo kidogo umechemka mkuu ila story nzuri sana.Kudos
 
Vipi umefikiria na hadithi imezungumziwa mwaka gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…