- Thread starter
- #21
HaaaaaaaaaaaaaaaaaaHuko mtaani pia utawafunga dada? Wewe leta dada wa kazi, mpime afya acha wanao wachukue kozi hapo, wengine ndio tulipoanzia
HaaaaaaaaaaaaaaaaaaHuko mtaani pia utawafunga dada? Wewe leta dada wa kazi, mpime afya acha wanao wachukue kozi hapo, wengine ndio tulipoanzia
nmetunga ndg japo ni mambo ambayo yanaweza tokea...........NI ya ukweli au ni ya Kutunga? Plz tell me ni ya Kutunga ..
Ooh kumbe ni simulizi...kwa hiyo nivute kiti nisubir mwendelezo siowork of Art
AhahahaHuko mtaani pia utawafunga dada? Wewe leta dada wa kazi, mpime afya acha wanao wachukue kozi hapo, wengine ndio tulipoanzia