Simulizi: Nyumba Iliyojaa Dhambi

Madame s kwanza asante huko kwenu mnapostiwa post ndefu huku kwetu post fupi sasa haitajulikana episode ya ngapi kama hapo episode ya pili lakini zipo nyingi hapo na mm mwanzo nilipost 6 sasa sijui ungekuwa unafupisha na kuendelea na episode zilizoishia sijui lakini yote kwa yote asante sana ubarikiwe
 
nimeona kama sehem za mwanzo kwneye episode ni za nyuma mno japo huko tupo ya pili hii, nilipoona hujatupia nikasema nikusaidie tu, asante kwa kushukuru bas ntakua nakata zile sehem tayar tumezisoma labda
 
Kwetu ameishia episode ya 6 ndio niliyoishia huku leo anaendelea kwahiyo episode za kuendelea huku nahisi ndio hizi ulizopost
 
Kwetu ameishia episode ya 6 ndio niliyoishia huku leo anaendelea kwahiyo episode za kuendelea huku nahisi ndio hizi ulizopost
Mmh nitakua napost ulipoishia tu kama.utakawia kupost mom na kule ikkwa imepostiwa
 
Mi nae ngoja nijikomentishe tu
Aunt ya kitunguu kanisusa siku hizi Shunie
Hapana baba kitunguu nisamehe tu jamani yaani nimekuwa adimu sana jf nikiingia story imeenda sana na mm sasa nilivyo ni mvivu sana nikiona episode nyingi nashindwa kusoma jamani
 
Hahahh nisimulie labda kwenye kochi sio kitandani sasa!..
Hahhaha sawa babe kuna sehem tunakutag n malcom hupati notification au alikuwa anakuulizia
 
Wazi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…