Simulizi: Mimi na Mimi

Asante sana ndugu yangu. Umeongea mengi muhimu ambayo hata sikuweza kuelezea. Hali ndiyo iko hivyo. Natumaini JF wataboresha upande huo kweny posting ili nasi watunzi tufaidike inavyostahili kwa kazi ngumu tunayofanya.
Story yako tunapokuwa porini inatusogezea siku ila episodes zinazofuata zinachelewa sana kule ulikoweka kwa kulipia. Week moja hadi mbili ni muda mrefu. Nilifikiri kule ndio utaweka zote kila mtu alipie iwa wakati wake. Au ndio mnataka tutumie coins kusoma story zingine?
 
Ni kutingwa tu na mmb mengi ndugu yangu. But ntajitahidi nionheze kasi kidg
 
Pendekezo zuri sana. Wengine huko fasihi.net hatuendagi. Uwekwe utaratibu tulipie humuhumu.
 
Hii story inasisimua sana. Kwa ilipofika wadau mnaoipenda lipieni tu. Sisi washinda maporini inatusogezea siku sana.

Elton Tonny nakupongeza angalau siku za karibuni umepiga back to back sio coins zinabaki zinasubiri week kadhaa mbele mpaka tunasoma story zingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…