sehemu ya 7
"shizouka mbona hunijibu my, au ulitaka kunichezea tu, yaani kunitoa usichana wangu na kuniacha ehh"
Nilikuwa nimeisha panic wakati ule na sijui kwanini nilikuwa na harakaharaka ya kutaka kujua, lakini kiukweli kwa wazifa aliokuwa nao shizouka ni lazima kwa binti masikini yoyote kama mimi awe na kiwewe, maana shizouka alikuwa na pesa, kitanda chake chenyewe hata nilipokuwa nikifanyiapo mapenzi najihisi furaha tele moyoni na ninaburudika kwelikweli na ule ulimbukeni nazani.
"Jungule, kwasababu nimekukuta na usichana wako yaani nimekuwa mwanaume wa kwanza kukutoa bikra, wewe ndio mwanamke wa maisha yangu, maana tangia nimeanza mapenzi nimekuwa nikisia bikra mara bikra ila hii ndio mara yangu ya kwanza kumtoa msichana ubikra, hivyo kila kilichopo hapa nichakwetu sote mke wangu naomba tu usije ukawa msaliti uwe mkweli ili Mungu afungule milango ya baraka na mafanikio kwenye maisha yetu"
"sawa mume wangu, nakupenda shizuoka, wewe ndio mwanaume wa maisha yangu, nitakuheshimu kama nilivyo muheshimu baba yangu kuutunza usichana wangu mpaka kuutoa wewe mume wa maisha yangu yote"
Tulifurahia maisha sana, nikanunuliwa na kufanyiwa kila kilichoitwa kitu bora kwa mwanamke, nilisuka mitindo tofauti tofauti ya kishua, nikaonekana (modern girl) yaani mwanamke wa kisasa, ngozi yangu ikawa nzuri na nyororo nikawa mrembo tofauti kabisa na nilivyo toka kijijini, hata yale machacha yaliyo kuwa yame chanikachanika miguuni yakafutika nikawa na miguu milaini, kiukweli sijui shepu yangu ilitokana na mapenzi ya shizouka maana umbo langu lilikuwa zuri hata marafiki wa shizouka wakawa wanamsifia wakimwambia,
"mzee umeangukia kimwana, umbo na (8)eight mzee".
"mke wangu wiki ijayo utaanza kujifunza gari nimeisha ongea na mwalimu atakufata hapa"
"shizouka mimi siwezi naogopa kuendesha, kwanza hapa dar kuna magari mengi nitagongwa"
"Jungule hakuna alie zaliwa anajua, utaelewa tu kuendesha gari my wife"
Nilijifunza mpaka nikawa dereva mzuri tu.
Nilitambulishwa kwa wazazi wake na wazazi wangu pia wakamjua shizouka.
Nilichokosea ni pale nilipojiunga na kwaya ya kanisa ambalo mume wangu alipokuwa anasali na hapo ndipo nahisi ndipo chanzo changu cha kuanza udangaji kilipoanzia.
USIKOSE #8