plan z JF-Expert Member Joined Jun 10, 2019 Posts 1,395 Reaction score 1,442 Aug 26, 2022 #1 Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii. Boss wao aliwapa task ambayo ilimfanya yule aliyelalamika agundue kitu ambacho kilimfanya mwenzake apandishwe cheo na yeye asipandishwe
Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii. Boss wao aliwapa task ambayo ilimfanya yule aliyelalamika agundue kitu ambacho kilimfanya mwenzake apandishwe cheo na yeye asipandishwe