Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
bet lost!Sema faraji kichwa namuamini hata mgonga huyo demy
bet lost!Sema faraji kichwa namuamini hata mgonga huyo demy
Mtuombee,!Vizuri mnalifahamu hilo
Imeishia patamu kinoumahSehemu ya 68
Kitendo cha kunililia niliona ni kama alikuwa akinichuria tu, nilichofanya ni kumlipa fedha zake zote, nikampa nauli tayari kwa ajili ya kurudi kwao Iringa.
**** Wiki mbili badaye, baada ya Doren kuondoka kwenye mji wangu, Debora naye alirejea kutoka Afrika kusini, ilikuwa ni furaha kwangu kungana na mwanake huyo ambaye penzi langu nililihamishia kwake kiasi cha kufanya sura ya mke wangu Nasra kuanza kufutika kichwani mwangu.
Penzi langu na Debora lilinoga kadiri siku zilivyo yoyoma, ikafikia hatua tukaanza kufikiria ndoa kati yetu.
Fikra za ndoa zikapelekea kuanza kutambulishana kwa ndugu na jamaa, uhusiano wangu na mwanamke huyo haukuwa siri tena. Ukawa wazi kwa kila mtu.
Pamoja na ukweli kwamba Nasra, mke wangu wa zamani alikuwa mrembo pengine kuliko Debora, lakini nilimpenda Debora kwa jambo moja tu lililomtofautisha na Nasra.
Alikuwa mwanamke mwenye akili ya maisha, mipango yake na mawazo yake wakati wote ilinivutia mno.
Hilo likanifanya nimwamini mno, nikaona huyo ndiye msichana ambaye Mungu aliniandikia maishani. Nilichofanya ni kuharakisha mipango ya ndoa.
Kwa kuwa mke wangu wa zamani, Nasra, sikuwa nimempa talaka na sikutaka ndoa yangu na Debora ije iingiliwe na rapsha ya aina yoyote, nilichofanya ni kuandika talaka kwa mke wangu yule wa zamani.
Baada ya talaka ile kukamilika, niliendesha gari hadi Tabata, huko ndiko Nasra alikokuwa anaishi na hawara wake, nilitaka nionane naye kisha nimkabidhi talaka ile mkononi.
Nikiwa umbali wa mita kama hamsini kabla ya kufika kwenye nyumba waliokuwa wakiishi, nikashangaa kuona kuna kitu kama harusi. Nikaongeza mwendo kuisogelea nyumba hiyo. Naam ilikuwa ni harusi ya ndoa.
Tulubai kubwa lilikuwa limetandazwa watu waliketi kitako, mbele yangu nikamwona hawara wa mke wangu akiwa ameshikana mkono na ndugu mmoja wa mke wangu, ubani ulikuwa ukifushwa, shekh mmoja alikuwa kando akifungisha ndoa.
“Inamaana mke wangu Nasra anaolewa!” bila kutarajia nikajikuta nimelopoka kibwege.
JE? NINI KITATOKEA. USIKOSE KUFUATILIA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA
Hahaa ananuka kumbe !! looh !!Sehemu ya 66
POMBE iliyokuwa kichwani ikanifanya nishindwe kufikiri na kudhibiti mihemko, tamaa ya ngono ikawa kubwa, nilimwangalia Deren akiwa anatembea kama Twiga huku wowo lake likiendelea kuacha ujumbe uliosema ‘ushindwe mwenyewe’
“Kwani nikitoka kimapenzi na Deren nani atajua? Kuna ubaya gani?” nilijiuliza kimoyomoyo, Kwa kweli sikuona cha kunizuia kulila lile embe bichi.
Nilichofanya ni kusimama na kumfuata chumbani kwake. Mlango ulikuwa umeegeshwa tu. Nikasukuma.
Wakati uwazi wa mlango unaongezeka, nikakutana na Deren aliyekuwa wima kama mlingoti, macho yamemtoka pima. “Baba!!” akasema kwa mshangao.
“Usiwe na wasiwasi Deren, nataka tuongee.” Niliongea kwa sauti ya upole. Nikarudishia mlango na kukomea kwa ndani. “Usiogope Deren…” niliendelea kuongea kumtoa wasiwasi. “Deren.”
“Abee.” “Nimeshindwa kujizuia.” “Kujiuzuia vipi?” “Nimegundua wewe unasifa zote za kuwa mpenzi wangu, sitaki tena uwe dada wa kazi,” nilisema kwa sauti ya mahaba mkono mmoja nikaupachika begani kwakwe.
“Naogopa.” “Unamwogopa nani?” “Dada.” “Hebu acha kunisanifu Dreen, inamaana hujui kama nisha achana na mke wangu.” “Hata kama mmeachana, lakini….”
Alikwisha chelewa, tayari mikono yangu ilikwishaanza ziara kwenye kifua chake, nikawa nayabinya matiti yake kwa ustadi mkubwa.
Dereen akawa hapumia vizuri, kufumba na kufumbua jasho likamjaa maungoni mwake, kwa makusudi kabisa nikazidisha mautundu.
Sijui nilimshika wapi bwana, si akaanza kupiga kelele za mahaba, kelele zile zikanihamasisha, nikazidi kumtekenya huku na kule.
Kama masikhara, nikamchojoa nguo zote, na mimi nikafanya hivyo, tukawa saresare maua. Kilichofuata baada ya hapo ilikuwa ni kumpa ‘mkomboti’ wa nguvu.
Mmenyano ulikuwa mkali sana, dakika 20 badaye, mechi ikaisha kwa matokeo ya goli moja kwa moja, nakumbuka tulibakia tukiangaliana kama majogoo waliokuwa kwenye mapigano makali.
Umri wa Doren ulikuwa hauendani na mwonekano wake, sikutegemea kama binti huyo angekuwa fundi chumbani.
Pamoja na ujuvi aliokuwa nao kunako sita kwa sita, lakini msichana huyo alikuwa na tatizo moja ambalo lilininyima raha mno kwa siku hiyo. Kutokwa harufu kali ya kinywa na kikwapa.
Hapa ndiyo damu inapomwagika...SEHEMU YA 58
Doreen. Msichana mweusi, mwenye chuchu zilizosimama wima alionesha kunijali.
Siku ya jumatatu ilipotimu, nilitikia wito, nilikwenda ofisi za halmashauri ya kinondoni, niliingia kwenye ofisi ndogo ya maofisa ustawi, mke wangu Nasra naye alikuwepo.
Hakuwa peke yake, aliongozana na hawara wake,Ally, roho yangu iliniuma sana kadiri nilikuwa nikiowana watu wale wako pamoja, kitendo cha kuwaona ilikuwa ni kutonesha kidonda kibichi.
Zamu ya kuhudumiwa ilipofika, tuliingizwa kwenye ofisi ndogo, kabla ya kuanza kuzungumza kinaganaga juu ya nani anastahili kumlea mtoto, maofisa ustawi walitutaka radhi tuwe na subira kidogo tumngojee kiongozi wao.
Tulingoja kwa muda kidogo, punde mtu aliyesemwa ni mkuu wao akaingia. Sikuamini macho yangu baada ya kumwoana bosi huyo.
Alikuwa ni Debora, mwanamke ambaye alikuwa katibu muhtasi wangu, wakati nikiwa mratibu wa elimu wilaya ya Temeke, hata yeye aliponiona alishituka. Lakini alificha mshituko wake, watu wengine hawakugundua chochote.
Aliketi. Kesi ikaanza kusikilizwa. Alianza mke wangu kujieleza, akawaeleza ameachana na mimi kutokana na manyanyaso yatokanayo na kipigo nilichokuwa nikimpa baada ya kulewa pombe, lakini kama haitoshi, akasema nimemnyang’anya mtoto mdogo ambaye kisheria ilibidi alelewe na yeye hivyo madia yake ya msingi ni kumtaka mtoto wake.
Wakati mke wangu anaeleza mambo yale nilihisi kifua changu kikijaa hewa, nikawa sihemi vizuri, hasira zilinilipanda vibaya sana. Nasra alikuwa akizungumza uongo mwingi sana huku akinipaka matope mbele za watu.
Zamu yangu ya kujieleza ilifika, nilieleza kwa ufupi sababu ya kumwacha mwanamke yule, nikawambia nimetengana na Nasra kutokana na umalaya wake , tabia ambayo nimeona inaweza kuleta matatizo kwa mwanangu.
“Tumewasikiliza…” Hatimaye Debora kiongozi wa wale maofisa alisema. “Pamoja na mambo yote hayo, bado sheria inampa haki mama wa mtoto kuishi na mtoto huyo.
Na si hilo tu, sheria inampa haki mwanamke huyu ya kupata sehemu ya mali mlizochuma pamoja katika maisha yenu ya ndoa.” Debora alisema, tena bila kuniangalia usoni.
JE? NINI KITATOKEA.