Sharp Observer
Member
- Apr 11, 2011
- 59
- 41
How do you preach what you don not practise? And especially to emotionally generated responses?wewe kijana "u dnt need to have been a horse to be a jockey"
sumthings with diligent insight one can offer advise notwithstanding that they are not involved in marriage!!
the only diference btween simulation ya hiyo matatizo ya barabarani na hizi za ndoa ni kwamba there are emotions involved and once feelings are involved...it gets tricky. however that does not mean one can not be in a position to offer sound advice provided tey remeber to take into acount the emotional side of things.
Habari ndugu mwana JF
Katika sayansi ya kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasilianao (ICT), tunapozungumzia SIMULATION tunamaanisha kufanya practical katika mazingira yasiyo halisi (virtual environment). Mfano unaweza kuwa ni kutafiti msongamano wa magari dsm na kutoa ufumbuzi wake kupitia programu za kompyuta kabla ya kuingia barabarani.
Kwa sasa kumekuwa na wimbi kubwa (hapa sina data numerali - quantitaive data) la watu wengi (wakiwemo JF members), vituo vya redio, mapadri, wachungaji, television, tovuti, magazeti n.k.; kuongelea mambo mengi kuhusu ndoa na namna ya kuzidumisha. Pia wanaongelea kuhusu malezi ya watoto.
Katika makundi hayo wapo ambao hawana ndoa (padri/sista), wengine ndoa wamevunja wenyewe (mchungaji maarufu mikocheni), vijana ambao hawajaoa/kuolewa, wanaume/wanawake ambao wameacha wake zao/wameachika kwa waume zao.
Mtu wa namna hii anapoizungumzia ndoa, anajaribu kufanya simulation ya ndoa kwa kuwa anachokihubiri ama kukieleza hakielewi kwa kuwa hakiishi (Virtual marriage). Vilevile mpaka kwenye malezi ya watoto.
Wabongo kwa vitu tusivyoweza, tukae kimya na si kueleza tu ili mradi uonekane kwenye TV, gazeti, tovuti, au tu lazima waumini wako uwaelezee, wala lazima upost hapa JF. Ila kwa wale wenye kuyaishi maisha hayo wanahaki ya kushauri, kuonya kwa sababu wanajua. Wale tusioishi maisha ya ndoa wala kuwa na watoto tuwachie wahusika wazungumze, nasi tutachota hekima toka kwao.
Nakereka sana kumsikia binti, kijana, padri, sista, mchungaji (mikocheni), na wengine wengi wa namna hiyo; kushauri kuhusu ndoa wakati wao wenyewe hawaishi maisha ya ndoa. Hiyo ni marriage simulation na haitusaidii.
I Conquer with you! Na hicho ndicho nilichomaanishaSharp Observer una pointi umeongelea muhimu mno...
mimi kinachonishangaza ni kuwa unakuta watu ni single
na wanawakosoa mno walio kwenye ndoa kuhusu maisha ya ndoa....
hilo linanishangaza mno....
If so then they are simulating, do not have actual environmentNdg unapokula samaki, hakuna anayekwambia tema mwiba, kwa kawaida mwiba ukikuchoma unatema mwenyewe! Ktk mawaidha ya hao watu, jaribu kuchambua mwenyewe, select the best na visivyokufaa vipotezee! Ni haki yao kuchangia kwa sababu ya mazingira yaliyowazunguka.
Wanaona matatizo ya ndoa kupitia kwa wazazi, madada, majirani nk
Nitakujibu baadaye kazi za mwajiri bado zimenibana, ila punguza munkali and relax. Nina mke na watoto wawili. Jiulize swali fupi kwa nini wakristo (hasa Roman) hawaruhusu asiye na ndoa kuwa msimamizi wa ndoa? Then nitakujibu vizuri baadayeMkuu Sharp Observer,
Hivi ili Daktari ili aweze kukufanyia operation ni lazima awe amugua huo ugonjwa anaotaka kufanya operation?????
Hivi maisha ya ndoa hayana generally accepted principles????? Kama zipo ni zipi?
Kama walau unafahamu chache je hao uliosema wanafundisha kitu ambacho wao hawako huko (ndoa) wanadeviate vipi kutokana na
generally accepted principle???????
Kwanza kwa nini unataka kusikia wengine wanasema nini badala ya wewe na mwenza wako kupanga, kuamua na kutekeleza yale mnayoyaamini
ni ya msingi katika ndoa yenu na sio wachungaji ama watu wengine wanataka nini????
Je wewe umeoa???? Kama bado hujaoa kwa nini unataka kujua mambo ya walioa?
My simple psychology inaniambia wewe ni Mwoga, Hujiamini na huamini mawazo yako na hata ya watu wengine.
Sorry kama nitakua nimekuudhi lakini principle yangu ya maisha hii.
Nimemuoa mwananamke niliyemtaka awe mke wangu, ni wangu hata kama anamapungufu na sitoomba ushauri
kwa mtu zaidi ya mke wangu ya namna tunavyohitaji kuishi katika ndoa. Mke wangu ndio dira yangu na mimi ni dira yake
na wote tunaenda direction moja hata kama tunatumia vyombo tofauti kufika tunapotaka kwenda hivyo hatuhitaji
co-pilots maana hawana compass(dira) tuliyonayo sisi.
Habari ndugu mwana JF
Katika sayansi ya kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasilianao (ICT), tunapozungumzia SIMULATION tunamaanisha kufanya practical katika mazingira yasiyo halisi (virtual environment). Mfano unaweza kuwa ni kutafiti msongamano wa magari dsm na kutoa ufumbuzi wake kupitia programu za kompyuta kabla ya kuingia barabarani.
Kwa sasa kumekuwa na wimbi kubwa (hapa sina data numerali - quantitaive data) la watu wengi (wakiwemo JF members), vituo vya redio, mapadri, wachungaji, television, tovuti, magazeti n.k.; kuongelea mambo mengi kuhusu ndoa na namna ya kuzidumisha. Pia wanaongelea kuhusu malezi ya watoto.
Katika makundi hayo wapo ambao hawana ndoa (padri/sista), wengine ndoa wamevunja wenyewe (mchungaji maarufu mikocheni), vijana ambao hawajaoa/kuolewa, wanaume/wanawake ambao wameacha wake zao/wameachika kwa waume zao.
Mtu wa namna hii anapoizungumzia ndoa, anajaribu kufanya simulation ya ndoa kwa kuwa anachokihubiri ama kukieleza hakielewi kwa kuwa hakiishi (Virtual marriage). Vilevile mpaka kwenye malezi ya watoto.
Wabongo kwa vitu tusivyoweza, tukae kimya na si kueleza tu ili mradi uonekane kwenye TV, gazeti, tovuti, au tu lazima waumini wako uwaelezee, wala lazima upost hapa JF. Ila kwa wale wenye kuyaishi maisha hayo wanahaki ya kushauri, kuonya kwa sababu wanajua. Wale tusioishi maisha ya ndoa wala kuwa na watoto tuwachie wahusika wazungumze, nasi tutachota hekima toka kwao.
Nakereka sana kumsikia binti, kijana, padri, sista, mchungaji (mikocheni), na wengine wengi wa namna hiyo; kushauri kuhusu ndoa wakati wao wenyewe hawaishi maisha ya ndoa. Hiyo ni marriage simulation na haitusaidii.
Sharp Observer una pointi umeongelea muhimu mno...
mimi kinachonishangaza ni kuwa unakuta watu ni single
na wanawakosoa mno walio kwenye ndoa kuhusu maisha ya ndoa....
hilo linanishangaza mno....