Lakikunene
Senior Member
- Jul 18, 2017
- 129
- 145
Muonyeshe Mwanamke wako mpya maana anachohisi yeye ni kua wewe unasumbuliwa na upweke hivyo akikuchombeza itakua rahisi kumrudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si ukae kimya, tatizo wewe nawe un enjoy chats zake.
M-block mkuu.
Yupo humu JFWakuu habarini; Kama kichwa kinavyojieleza ni ipi dawa ya Mwanamke huyu ambaye ni msumbufu kupita kiasi ni hiv;nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani 1 year lakn tuliachana(Nilimwacha) kutokana na Tabia zake za michepuko Ilikuwa Mingi japo alilalamika na kuomba msamaha kuwa hatorudia tena ;Niliamua kukatisha (kupunguza kabisa) Mawasiliano Ili nimsahau lkn mpaka sasa bado nimsumbufu Kila mara WhatsApp ananitext na dhahiri kabisa anachohitaji nikurudisha uhusiano na mimi Simwitaji tena:;
USHAURI NINI NIKIFANYE ILI ASINIZOEEE KABISA AU AKATISHE MAWASILIANO NA MIMI MAANA SIMWITAJI TENA???
AiseehWewe inaonekana humuitaji ila bado unampenda
Sasa kwani akikutext ukauchuna atakuzoeaje ama atawasilianaje na mtu asiyemjibu
Yupo humu JF
I missed you more jamaniAiseeh
upo
nilikumis ile mbayaaa
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Kama haumuitaji tena haina haja ya kukwaruzana nae ila akikutumia ujumbe wa salam nawe msalimie akituma wa mapenzi usimjibu wewe jenga urafiki kwani hawezi kukulazimisha kushiriki penzi kama hutaki tendo ni hiyari
Sent using Jamii Forums mobile app