Simuelewiii huyu kaka

Kuna kipindi nilimwambia kabisa mapenzi haya mie siyawezi akaniambia nimvumilie atabadilika taratibu na kuniomba msamaha .... nikimwambia tuachane yani neno ambalo hataki kulisikia kabisa
Basi msamehe tu
 
Hapana ni mwanaume ambaye anapenda sana kuhudumia familia yake kwa kweli anajitaidi sana .... ila tatizo ni mawasiliano tu
Kama ni mume wa mtu na ana familia yake sepa au vumilia manake hiyo haiwezi badilika.Huwezi kujilinganisha na mkewe Kama nimekuelewa.
 
Sasa bora huyo umejua ndivo alivo na sio kwamba anakufanyia kusudi

Wala usijipe stress na tabia yake hiyo,we nenda nae taratibu na usichoke kumchokoza kwa vimeseg vya hapa na pale,sio msg za malalamiko lakini
 
Suala la mawasiliano na mahusiano kwa wanaume ni tofauti na wanawake, wanawake wanathamini sana mawasiliano na mahusiano kuliko sisi wanaume hivyo usichoke kumbadilisha taratibu..
Wanawake mnapenda mawasiliano ndo maana kila kitu kinachowatokea lazima msimuliane ila sisi wanaume kwa upande mwingine tunapenda kubeba mizigo yetu wenyewe..nina rafiki yangu wa kike yaani zikipita siku mbili hatujawasiliana ananuna kinoma, ila kwa wanaume haipo hivyo yaani naweza kukaa hata miezi sijaongea na rafiki yangu wa kiume ila siku tukiongea ni as if tunapiga story kila siku
 
Muonjeshe kipochimanyoya uone kama atakaa kimya. Kama wewe kila siku unampiga mizinga hueleweki kwa nini asikupotezee??
 
Ukitaka kuishi na huyo KIUMBE hauna budi kuliamsha DUDE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…