Je, ni nini mnawasaliana??
Isije kuwa kila siku asbh ni 'hi' hi too, lazima itaboa, na hata hiyo tabia ya kumlazimisha nayo inaboa sana kama hamjui.
Mtu anaweza kuwa amejisahau, halafu ww unakuja, unamlaumu weeeee, hata akikutafuta anakuwa anatimiza tu wajibu basi.
Kuwa mbunifu, kuwa na mada zitakazomtia hamu ya kukutafuta mara kwa mara, awe rafiki yako kwanza, so mambo ya fb, insta, kazini kwenu, kwao, story za mashamba, mpira nk..., msome mtu, uone ni story zipi zinamkoleza...., then nenda na beat.
namkumbuka x wangu flani, nikijikuta sina la kufanya na nataka kucheka, nampigia tunafurahi weeeee.., yaani hakuna anayemsukuma mwingine.
Hata ukiona siku hajakutafuta, ukimchek usimwulize kuhusu hilo, we zungumza mengine tu, then basi.
Nitaendelea....