Simuelewiii huyu kaka

Kumbuka hakuna binadamu aliyekamilika kama kwa vitu vingine yupo sawa na anavifanya ipaswavyo hebu tuliza moyo wako.
Huu ndo ukweli mkuu mwambie asijetaman kurudi wakati jua limezama
 
Siku tatu we umeona nyingi?Ama kweli kizazi hiki ni cha mwendokasi kweli!Yaani fikiria mtu huko busy kutafuta pesa halafu wewe unataka muwe mnachati kwenye simu kila siku?Ni ajabu!
 


je?unampigia Mara ngapi kwa siku? Huwa anapokea?

BTW simu ni kero fulani hivi..hasa pale unapotaka upigiwe tu..hata la maana hakuna..

Ungesema anawapigia wengine tu..ungeeleweka!

huyo ni wako,ila kwa "wenge'' lako hakawii kukuona ni kero tupu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tuna tabia ya kuwa distant once in a while. Its nature. Au anaweza kuwa anaogopa kutendwa. Maana ukizama sana nako kubaya specially kama mvulana akifall too deep kwa mwanamke.

Its science and nature, kitu ulicho nacho unakichoka. Unataka kipya, Huyo kaka nampa hongera kwakuavoid hicho. Usinielewe vibaya. Piga picha kama angekuwa anaongea na wewe 24/7, ungemchoka tu. Hii inaitwa push and pull technique, its keeps up the sparks in a relationship.

Nilishawaho kuchanwa live 'Ghost unanipenda sana mpaka unapitiliza'. Hapo nimejikwamua enzi hizo iPhone 5 imetoka nimemnunulia. Kumbe ananicheat pembeni. Too much of anything is toxic.

Nikukumbushe, kama wewe unaamini true love, na fairly tales in real life, Fanya kama hujasoma nilichoandika
. True love doesn't have to be like that. But kwa mtazamo mwingine... Nature na true love havipandi. Huyo kaka anataka kukukeep around, anajua akionyesha sana anakupenda/kukujali utamuacha kwenye mataa. That's what 80% of women do. Mnapendaga wasio wajali. Research held in California University shows that women are likely to break up with caring men than the men who treats them as objects.

Conclusion:
Mpe muda, akikuamini na akifall way too deep. Utaenjoy sana. Now nahisi anakusoma kwanza ulivyo. Enjoy your relationship.

-callmeGhost
 
unanikumbusha kule kijiji i kwetu mzee akienda mjini kutafuta maisha kurudi s chini ya miaka 10 na hapo simu hazikupo!
 
bado hujafikia kiwango cha yeye kukupenda ndio maana anakufanyia hivo!! nani hapa ambaye inaeza ikapita hata siku hajawasiliana na mtu ambaye anampenda kutoka moyoni!!??
 
Ukiona hivyo anamambo anayoamin ni bora zaid ya mapenzi, kifupi mapenzi sio kipaumbele chake. Amekuwa na wapenzi basi tu kwa kuw yeye ni binadamu anahitaji mwenza km asil ya wanyama wote.
 
Pole mway i know how it feels.. Afadhal uyo hata ndugu zake ni suala la kumwambia tu usiombe ukute ambae akupgii wew ila marafk all the time au kila ukiamka unamuanza wew.. Its really hard jamani
 
Mahusiano pasipo uvumilivu utakuwa unaacha kila siku, hakuna binadamu mkamilifu.

Fuata moyo wako mwisho wa siku wewe wamjua vyema.
Kwel ni kumvumilia na kuzungumza nae nahc wakaka weng wako hvo jaman... As long as umejua hachepuka mvumilie kila m2 ana weakness zake
 
Umeshamjua kuwa hivyo ndivyo alivyo,hafanyi kusudi au kukudharau, ishi nae kama alivyo. Ukipenda boga penda na ua lake.
 
Nafikiri ni mapungufu yake kama wewe ulivyo na yako. Na yeye anakuvumilia, na una bahati hajakutangaza kwasabb anajua binadamu tuna mapungufu. Kama unampenda utamlinda na utajaribu kucop nae au la ku mnurture. Tatizo couple nyingi siku hizi zimeharibiwa na utandawazi, no kuchukuliana na ku mould each other!
 
Mtu ambaye yuko moyoni huwezi pitisha siku bila kumjulia hali, Dada muwe mnajiongeza kiakili.
Binafsi siamini ktk mapenzi ya kuigiza. Nakubali na natambua umhimu wa mawasiliano, lakini siyo kila mara tunafuatiliana kama watoto wa shule. Yako mambo mengi ya kufanya na muhimi ktk mapenzi. Huduma unapata? Mahitaji ya msingi si unapata! Jamani tuhurumieni wakati mwingine, mwanaume wa kweli anamzigo mkubwa wa kuhakikisha familia yake kama ipo/ijayo inapata maisha mazuri na kutengeneza ziada kwa ajiri ya kesho. Mimi ni mmoja wa watu wa aina hiyo, nashukuru ilifika mahali mke wangu akanielewa. Kama huyo mpenzi wako hakusaliti, basi mchukulie jinsi alivyo, vinginevyo utapata ambae mawasikiano ni 24hrs halafu mambo mengine ambayo ni ya msingi kuliko mawasiliano iwe zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…