kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Kwa ushauri huu...Mtu ambaye yuko moyoni huwezi pitisha siku bila kumjulia hali, Dada muwe mnajiongeza kiakili.
KwA kweli hata mie naona Ila sijui ndio kilema cheke hata ex wake naye alikuwa analalamika kama mie yani swala la simu kwake ni mtihani Ila ukiamua kumnunia basi anajilekebisha wiki moja halafu anaanza tenaMtu ambaye yuko moyoni huwezi pitisha siku bila kumjulia hali, Dada muwe mnajiongeza kiakili.
Hapana ni mwanaume ambaye anapenda sana kuhudumia familia yake kwa kweli anajitaidi sana .... ila tatizo ni mawasiliano tuUwe una mhonga!
Hii kauli napiga kwa sauti kubwa.Mtu ambaye yuko moyoni huwezi pitisha siku bila kumjulia hali, Dada muwe mnajiongeza kiakili.
Ulijuaje habari za Ex wake?????KwA kweli hata mie naona Ila sijui ndio kilema cheke hata ex wake naye alikuwa analalamika kama mie yani swala la simu kwake ni mtihani Ila ukiamua kumnunia basi anajilekebisha wiki moja halafu anaanza tena
Kuna kipindi nilimwambia kabisa mapenzi haya mie siyawezi akaniambia nimvumilie atabadilika taratibu na kuniomba msamaha .... nikimwambia tuachane yani neno ambalo hataki kulisikia kabisaKwa ushauri huu...
Nimekupenda bure walah....
Wenzako wanapinga na sababu za msingi sio unaropoka tu.Hii kauli napiga kwa sauti kubwa.
Yanii nimejikuta nachekaMambo mengi kwenye utawala huu wa bwana yule vumilia tu mambo yatakwenda poa.
Kuna kipindi simu yangu ilialibika akanipa simu yake ambayo alikuwa haitumii nahisi alisahau kufuta hiyo text Ndio nikaona malalamiko ya huyo Dada na sio kwamba nilifanya ufukunyukuuu...Ulijuaje habari za Ex wake?????
Bado hajapata wakumgusa mtima wake, akimpata hatopitisha siku.
Huyo hakutaki wewe sepa dada.Happy Easter Jf
Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ???yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na hata ukipiga simu Mara nyingine hapokei ?? Nilimfatilia na kuhisi ana mwanamke lakini wapi ?? Hana mwanamke na Ilo tatizo sio kwangu tu hata kwa marafiki na ndugu wanalalamika pia , mie mpenzi wake swala hili linaniumiza haswa naombeni msaada jinsi ya kuishi na huyu kiumbe jamani
Inawezekana kweli bado ajapata mtima wake Ila kwenye mambo mengine mengine yupo perfect tatizo ni Ilo mawasialiano ... sasa najiuliza nimvumilie ??? Nikianza safari nyingine huyo nitakayempata atakuwa na mapungufu yap??? Maana tuna miaka miwili karibiaUlijuaje habari za Ex wake?????
Bado hajapata wakumgusa mtima wake, akimpata hatopitisha siku.
Mahusiano pasipo uvumilivu utakuwa unaacha kila siku, hakuna binadamu mkamilifu.Inawezekana kweli bado ajapata mtima wake Ila kwenye mambo mengine mengine yupo perfect tatizo ni Ilo mawasialiano ... sasa najiuliza nimvumilie ??? Nikianza safari nyingine huyo nitakayempata atakuwa na mapungufu yap??? Maana tuna miaka miwili karibia
Kwa kweli misstrace... moyo bado upo kwake Ila saa nyingine naumia na hii tabia mpka basi nabaki Kununa tyyMahusiano pasipo uvumilivu utakuwa unaacha kila siku, hakuna binadamu mkamilifu.
Fuata moyo wako mwisho wa siku wewe wamjua vyema.
Happy Easter Jf
Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ???yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na hata ukipiga simu Mara nyingine hapokei ?? Nilimfatilia na kuhisi ana mwanamke lakini wapi ?? Hana mwanamke na Ilo tatizo sio kwangu tu hata kwa marafiki na ndugu wanalalamika pia , mie mpenzi wake swala hili linaniumiza haswa naombeni msaada jinsi ya kuishi na huyu kiumbe jamani