Simuelewi wifi yangu

mwambie kaka yake
 
sasa na wewe kichwani mwako unadhani anaweza akaingia jikoni tu na kuanza kupika wakati hujamuonyesha mazingira hata sufuria inakaa wapi. Naona tatizo liko kwa upande wako zaidi kuliko kwake ninavyoona.
 
Sidhani kama huku kuna suluhisho ungeanza na yeye mwenyewe hapo nyumbani ukajua shida ni nini ukikwama ndio uje kuomba ushauri?
 
to be frank, kama angelikuwa ni sister wako yupo hapo nyumbani kwa muda huo wa siku tatu au nne hajaingia jikoni, ungelikuja kushataki hapa jf? yaani kuna wanawake wanachuki za waziwazi kwa ndugu wa upande wa mume.
Badilikeni wadada!
 
Ebu kesho liamshe lipge deki ndani,alafu akimaliza anywe chai, baadaye mpe surufia ya pilau au wali apike,asilete uhayawani kwenye hamna,kama hatak aende kwake au kwao! Usipende stres kwenye maisha mpendwa,hilo ni livivu
 
mamii mbona huna kifuaa hivyo? je angekua mama mkwe kaletwa hapo anaumwa labda ugonjwa unaohitaji attention yako sana,HUYO NI WIFI AKO NA SIO DADA WA KAZI HAYA MAMBO YA MJINI LOOH
 
to be frank, kama angelikuwa ni sister wako yupo hapo nyumbani kwa muda huo wa siku tatu au nne hajaingia jikoni, ungelikuja kushataki hapa jf? yaani kuna wanawake wanachuki za waziwazi kwa ndugu wa upande wa mume.
Badilikeni wadada!

yaan aibu hayupo kind kabisa looh
 
Ebu kesho liamshe lipge deki ndani,alafu akimaliza anywe chai, baadaye mpe surufia ya pilau au wali apike,asilete uhayawani kwenye hamna,kama hatak aende kwake au kwao! Usipende stres kwenye maisha mpendwa,hilo ni livivu

Weeeeeeee wifi kama hana manenoo unamuachaa kwan kuna tatizo gani kumpikiaa kila siku kumbuka wifi ni kama mume wako
Mi kwa hilo sina shida maana hajaja kunifanyia kaziii kaja kusalimiaaa
ila kama amekuja kishariii ni kumpelekeshaa mpaka atakomaa akiondoka tu kaka yakee vitimbi hivyo hatasahauuuu
 
wanawake bana! wengi wao wanapendaga ndg zao tu ndo waje, daah tunashida hizi ndoa zetu!!!
 
to be frank, kama angelikuwa ni sister wako yupo hapo nyumbani kwa muda huo wa siku tatu au nne hajaingia jikoni, ungelikuja kushataki hapa jf? yaani kuna wanawake wanachuki za waziwazi kwa ndugu wa upande wa mume.
Badilikeni wadada!

Wanawake wengi wanatakaga wa kwao tu ndo waje, wanaume wengi wanajitahidiga ku-balance, ila wa dada khaaa!
 
Wanawake mna malalamiko kila kitu..huyo ni mtu mstarabu nyumbani kwako jikoni kwako, unataka aingie anze kupika ili nini, akipika vzr kuliko ww utanuna, akipika anacho taka ww utasrma anakupangia ratiba ya chakupika..km mtu kaja kwako anakula inachopika na kujilalia zake huoni ni ustarabu..tumia akili ya ziada na ya maisha kwenye ndoa si kila kitu unafikiria negative
 
Mumeo ana hasara, chukua ushauri wa wadau comments zilizotangulia ubadili tabia.
 
Aisee Leo ndo nimegundua wanaume mnawajua wanawake kwa undani yani mnaandika yanayotokea in reality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…