Simuelewi wifi yangu

Duh...! Mleta mada kachanwachanwa humu hadi huruma maskini....inaonekana alikurupuka! ha ha aha aha aha ah ah aha!

cc. MamaBeata
 
Last edited by a moderator:

Roho mbaya na choyo vinamsumbua, anaonekana anaendekeza msosi.
 
Many thanks Mkuu.

Tuna bahati ya nyie mliotutangulia na Mna hekima, Uzoefu wenu ni nguzo yetu pia kwa upande mwingine.

Nakushukuru Kaka.
Heshima ikurudie pia kaka....!!!!!!!
Kaka ambao hamjaoa ombeni sana mpewe wake wema waliojaa busara !!!!!!!
 

Umemaliza kila kitu mpendwa...unafaa kuwa mshauri nasaha..nimezipenda busara zako OLE SAIDIMU
 
Katika maelezo yako, umesema ana siku tatu, je ulishawahi kumkaribisha jikoni na kumuambia ajisikie huru kupika atapojisikia? Siku tatu tayari umeshamchoka wifiyo! Hivyo jiangalie na ujirekebishe maana inaonekana una karoho ka kwanini weye.
 
Kwani kaja kupika acha mawazo yakijinga kumuhudumia wifi yako sisababu yakuhoji kama umeolewa na watu wawili huow niuswahili nawanaokudanganya hawaitakii mema ndoa yako
 

Acha roho mbaya wewe....kwani tatizo liko wapi...mgeni siku tatu baada ya hapo mpe kazi afanye...siku mbili tu ushaanza kulalamika hivyo. Huyo ni mstarab hawezi anza kurupuka tu kuingia, we mzoeshe unamuita jikon mnakuwa mnapiga story huku unafanya kazi, baada ya siku moja atazoea na ataanza kufanya kazi.
 
Many thanks Mkuu.

Tuna bahati ya nyie mliotutangulia na Mna hekima, Uzoefu wenu ni nguzo yetu pia kwa upande mwingine.

Nakushukuru Kaka.

Tutafanya ya uwezo wetu kaka ili kutangulia kuwe na maana!!!!!!
Thanks a lot Tized
 
Last edited by a moderator:
Acha udhalilishaji wewe..walikufuta kamasi hao leo hii unawatukana hata haya huna.......kwa taarifa yako hakuna watu wenye busara na wanaojua kushi na watu kama walimu....shika adabu yako

Mimi nadhani alikuwa anajaribu kutuelezea kuhusu mtajwa. Cdhani kama alikuwa na kusudio hilo ulilofikiria wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…