Simuelewi wifi yangu

Wewe mama beata unaonekana ni mwanamke mchoyo na mbinafsi, nakumbuka kuna thread uliiweka hapa MMU kuhusu mdogo wa rafiki yako ambaye uliombwa ukae nae kwa muda,
Katika maelezo uliyotoa uligusia suala la chakula, ukawa unaona kama anakufilisi tu, baadhi wakasema wewe ni mbinafsi, na ni mchoyo, kwa hili la wifi yako nimethibitisha yaliyosemwa.
 

It true broo
 

Nimeishia kwenye comment yako maana imeshiba kila kitu
 
Unataka afanyekazi kwani huyo ni house girl wako?mwache alale tena me nampongeza ni mstaarabu sana ataki kujishughurisha na mambo ya hapo yasiyomuhusu
 
huyu mwanamke inaonyesha hapendi upande wa mume,maana sioni kama kuna baya hapo alilofanya huyo wifi yake,afu pia nina wasiwasi na utimamu wa akili ya huyu mtoa mada kama anajua majukumu yake(kama mke)...inabidi akafundwe upya huyu...

Bila shaka wewe sio mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…